Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MWANASIASA mkongwe nchini, Musobi Mgeni ameibuka na kukishambulia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya kuwafanya wasomi kuwa ni watumwa. Akizungumza na Mwananchi Jumapili, jana mkoani hapa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
askofU mukiwa anasema leo wazi wazi kwamba uchaguzi wa 2010 utakuwa mgumu sana kwa wanasiasa wengi kwa sababu wananchi wengi wameshajua haki zao ni zipi!. .''....wanasiasa waongo hawana...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
If my memory is correct, the only time I have written about US President Barrack Obama was in January this year, when I observed (among other things) that Obama is the first US leader – and that...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza katika historia ya SMZ wamedhihirisha uwezo wao wakusimamia kile wanacho kiamini. sasa tusubiri nini kitafatia kutokana na kauli ya waziri Adam Malima kuhusiana na kuwepo kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
MPs query 10bn/- NSSF loan to Kiwira mine company THISDAY REPORTER Dodoma THE opposition camp in Parliament has demanded explanations from the Government over the circumstances...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Boniface Meena RAIS Jakaya Kikwete amemteua Zahra Nuru kuwa msaidizi wa rais wa masuala ya diplomasia. Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,Ikulu jana na Katibu Mkuu...
0 Reactions
76 Replies
10K Views
Ukiongelea mpasuko uliopo hapa Zanzibar, waliowengi hasa walioko Tanzania bara huzaidi kuhusu CCM na CUF au UNGUJA na PEMBA. Ni kweli kuna mpasuko mkubwa sana na tofauti za waziwazi zinazoonekana...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
"Mishahara ya askari wa Kikosi cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM), kiasi cha Sh. milioni 92.2,lliibiwa katika Makao Makuu ya kikosi hicho, Kibweni, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar" "Zaidi ya Sh...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kutokutajwa kwa Tanzania katika hotuba ya Oboma ni ujumbe mahsusi kwa JK ambaye hivi karibuni alikuwa Marekani ambapo alikuwa rais kwa kwanza wa Africa kukutana na Obama. Tunakumbuka alimzawadia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
By Bernard James 9 July 2009 The Citizen Dar es Salaam tycoon Jeetu Patel is suing the Government and media mogul Reginald Mengi in a bid to have corruption charges against him and three others...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Juzi kwenye gazeti la mwanahalisi kulikuwa na makala iliyoandikwa na Salva Rweyemamu, ambaye ni mkurugenzi wa habari wa ikulu na mwandishi wa habari wa muda mrefu (alikuwa ni miongoni mwa...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Taarifa kwa vyombo vya habari 14 Julai, 2009 Chama cha Wananchi (CUF) kimefadhaishwa sana na taarifa kwamba maafisa wa Usalama wa Taifa wilaya ya Micheweni, wamekuwa wakiingilia utendaji wa Tume...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
MPs must not handle developmental funds, say activists By Harrieth Mandari, The Weekend African, July 18, 2009 DOZENS of Civil Society Organizations (CSO) have vowed to take the government to...
0 Reactions
1 Replies
893 Views
Taarifa kwa Vyombo vya Habari 15 Julai, 2009 Sisi Chama cha Wananchi (CUF) tumepokea kwa tafakari kubwa kauli ya Mhe. Amani Karume ya kumtaka kila Mzanzibari mwenye sifa na haki ya kupatiwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hakika kuna mengi sana ya kihistoria katika huu muungano wa tanganyika na zanzibar.. sasa ningependa kuuliza kwa mitazamo yenu muungano huu baada ya miaka zaidi ya 45 je umeimarika au...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huyu Mhindi akamatwe mara moja na bank account na assets zake nyingine ziwe chini ya ulinzi mkali. Wasimwache akaingia mitini kama yule wa rada. Revealed: Dar tycoon linked to BoT scandal...
0 Reactions
60 Replies
11K Views
Kwa wale wasio ona kazi na mafanikio ya serikali yetu walau wakubwa huko wanayaona. Kweli wahenga walisema mitume haikubaliki makwao... Tupate habari zaidi; RAIS wa Marekani, Barack Obama...
0 Reactions
115 Replies
12K Views
NI KWELI WIZARA YA HABARI HAINA KAZI, NA WATANZANIA HATUHIHITAJI Kuna wanaolalamika kwamba ni kuionea CCM kudai kuwa serikali yake ni kubwa mno na viongozi hawana uwezo wa kumsimamia kila mtu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
RAAWU yataka Dk Ndalichako awajibishwe kwa mitihani kuvuja Na Festo Polea CHAMA cha Wafanyakazi Taasisi za Utafiti, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti (RAAWU), kimesema Katibu Mkuu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kwa mara ya kwanza ilianza chokochoko kwenye kikao kilichopita nafikiri cha mwezi wa 4 mwaka huu,walidai kuliondoa suala la mafuta na gasi kwenye mambo ya muungano- ikafikia wakati Rais wa jamhuri...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…