You can fool smz sometime but you can`t fool them every time | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

You can fool smz sometime but you can`t fool them every time

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sonara, Jul 18, 2009.

 1. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa mara ya kwanza katika historia ya SMZ wamedhihirisha uwezo wao wakusimamia kile wanacho kiamini. sasa tusubiri nini kitafatia kutokana na kauli ya waziri Adam Malima kuhusiana na kuwepo kwa petrol bara na zanzibar ,jee SMZ itangia kichwa kichwa katika mtego huu ?

  The government has said there is every sign that Tanzania will discover oil due to availability of sedimentary rocks in both the Mainland and Zanzibar.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  SONARA
  Haijakaa vizuri!
  Ungeweka wazi hicho ambacho wazanzibari wanakiamini na kukisimamia..
  U have put it as if it was a continuation of a story, or that all people in here are well informed of the issue!
  Vinginevyo, waombe Mungu saana mafuta yasiwepo bara.
  Yakipatikana kikweli, wameliwa.
   
  Last edited: Jul 19, 2009
 3. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  Ndivyo ilivyokusudiwa isikae vizuri.
  Fumbo mfumbie ???Mwerevu hulifumbuwa!!,Mzanzibar atake bahatika kuisoma hii atafahamu (kuelewa)kwa hara sana nini kimekusudiwa ,hivyo ilivyoletwa (Tumwa) ndivyo haswa ilivyotakikana iwe.
   
 4. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  NBara wana kila kitu Bwana hivyo ni vyao. Wa-zenj hawajadai gesi wala almasi wala uranium. Huo umeme wanaununua. Lakini mafuta yakitokea Bara basi ni yao. Tatizo liko wapi? Tutapalilia mikarafuu yetu.
   
 5. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Kwani huu mjadala bado upo ?
   
 6. BUSARA6

  BUSARA6 JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2009
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 340
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Upo na hautakwisha mpaka kieleweke
   
 7. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ya Bara ni ya Bara. Na ya Zenj ni ya Zenj. Na hii khabari ya kodi lazima tukusanye wenyewe kila kitu. Halafu semeni tuchangie nini katika Muungano wetu?
   
 8. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Pakacha, ww na viongozi wenzako wa SMZ mnakuwa kama wanafiki hivi!
  Matatizo yote haya ya kodi na mengine yamesababishwa na system mbovu ya Muungano iliyoshindwa kuweka magawanyo wa maana wa majukumu ya kila upande, hatujuwi serikali ya Muungano mpaka wake ni upi yanapokuja masuala yasiyokuwa ya Muungano n.k Nakushangaeni bado mmeshikilia Muungano wa serikali mbili tu!!!
   
 9. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Na si busara kuwa na huo wa tatu unaotaka wewe. Kumbuka ratio yetu ni 36:1. Moja ndio kabisa tumemezwa -directly. sasa kama unaongea -kweli unataka Muungano basi ni huu wa mbili, lakini tuetekeleze kweli kwa nia moja. Kinyume chake ukisema tatu ni sawa na kusema hutaki Muungano. na moja unajuwa kuwa hatubali kumezwa asilan. This is only "food 4 thought 4 u"- Ndugu yangu.
   
 10. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Muungano udumu milele maana ukivunjika akina Pakacha watakuwa matenga au masusu kwa kikwetu.
   
 11. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Pakacha,
  Muungano wa serikali mbili hautekelezeki unalazimishwa tu.
  Bado nasisitiza tatu is the best option.
  Halafu kwanini unaendelea kuwa miongoni mwa kundi la wababaifu(ambalo hustahiki kuwemo wala halikuelekei) wanao amini kuwa Zanzibar kwa udogo wake na uchache wa watu wake haijiwezi yenyewe na siku zote itahitaji msaada tul. Kwanini hutaki kuamini kuwa nchi ile ilikuwa na neema kubwa wakati ikijitegemea kuliko wakati wa sasa katka Muungano?
   
 12. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nakubaliana nawe, katika mengi. Lakini hiyo tatu wewe umeiangalia kwa pua (yaani umetizama chini tu) siyo kwa macho(ukatazama mbele kwa upeo). Tatu ni federation. sasa katika kuchangia hiyo Jamhuri tutachangiaje? tutakuwa na formula gani? mambo ya pamoja ya
  majeshi na mapolisi-tutashirikiana kivipi ?(La mafuta tu tumelikataa tulipoelezwa huo mgao). Nakumbusha ratio yetu ni 36:1. Pakubwa hapo. unahitaji fomular ya kushirikiana itakayowaridhi (36) na halkadhalika ikawaridhi (1). sasa kama hii ya serikali mbili inatushinda nafikiri tuamue kuacha Muungano kuliko kwenda Tatu au moja (unajua fika hii ya moja haiwezekani asilan)
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Nimefurahi sana!! Kazi kwelikweli
   
Loading...