Rais ateua mshauri wa Diplomasia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais ateua mshauri wa Diplomasia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BelindaJacob, Jul 16, 2009.

 1. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Na Boniface Meena

  RAIS Jakaya Kikwete amemteua Zahra Nuru kuwa msaidizi wa rais wa masuala ya diplomasia.

  Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,Ikulu jana na Katibu Mkuu Ikulu, Michael Mwanda, kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi, inaeleza Nuru anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Andrew Daraja ambaye alihitimisha mkataba wake wa utumishi wa umma.
  Nuru aliwahi kuajiriwa na Umoja wa Mataifa kabla ya mkataba wake kumalizika alikuwa Mtaalam na Mshauri Mwandamizi wa Katibu Mkuu Msaidizi na Mshauri Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Afrika.

  Source: www.mwananchi.co.tz
   
 2. b

  bnhai JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,207
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Juzi umefanyika uteuzi wa majaji kumi. Mbona hukusema? Huyo hana sifa? Jamani acheni chuki
   
 3. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  ?? Are you for or against ??
  Huyu ndugu ana uzoefu mzuri tu mimi na question docile nature yake na kama ni appropriate at this day and time kwenye international forums.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Maane, hivi ulitegemea katika vetting hakutakuwa na probability ya kumpata muislamu ndani ya majina matatu??? OMG...Kwahiyo ulitaka achague dini gani katika hayo majina matatu??? ya kingunge??? Na huyo Obama aliowachagua unajua dini zao??? Weka data kama mteuliwa anafaa au hafai!!!! Treni nyingine hawdandii kwa mbele zinatumia umeme (au umeme jua)
   
 5. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280

  Safiiii. Tudondosheeni CV yake. Among, ionyeshe umri. Hapo tutaona his/her appropriateness!!!!

  Mimi nataka vetting ya high level appointments ifanyike na Bunge kwa maswali ya Wazi kama kule marekani na kwingineko ambako kuna demokrasia ya kweli. Apointees wote waitwe mbele ya Bunge kwa maswali.
   
 6. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280

  Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha. Give me a glass of pure and safe water. I will use tha elecricity to boil the water to kill the germs of nepotism. Nitadandia kwa mbele na sitapata shot ya umeme.
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hahahaaaaa, umeniweza maana kama waweza dandia treni ya umeme kwa mbele!!! YAngu macho

  My point is clear, before we oppose, we need to have justifications of our acts... ARE YOU COMFORTABLE TO PROVIDE SOME??
   
 8. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280


  I am neutral!!! Only the processes!!!!!!?????!!!!
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  BUNGE LENYEWE LIPI HILO??? la kingunge na Makamba??? hivi wewe uko sirias kuwakabidhi akina zungu wamhoji mwanadiplomasia wetu... si watasema kafulia!!!

  We need 400 years kuwa na demokrasia ya USA
   
 10. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  In one of my earlier posts nimeomba mwenye CV yake fully anidondoshee hapa. Yaani ile VC ya Kitanzania ambayo ina most of data na si kama zile za Ki-international ambazo zinafuata format fulani ambazo hazichukua mambo yote.
   
 11. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280

  Hapo mkuu wangu umenena. Yaani nilichokoza makusudi hapa. Kwa Bunge letu labda sijui tufanye nini, maana wale majority wetu watabaki kumfurahisha mkuu wao tu, not serious kumpitisha. Labda tuwakodi Wabunge either wa Uingereza au Marekani watufanyie kazi kwa hilo. Vinginevyo nepotism kama kazi.

  Imagine ule uchaguzu wa UVCCC levels mbalimbali walikuwa ni watoto wa vigogo tu na kwa hakika wangepita kama mzee fulani hakukemea na wengi wao wakaondolewa. It was a shame of its own kind/nature.
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Sawa, pia unaweza ku-google ukaanza kupata baadhi ya blah..blah maana sidhani kama kuna mtu atakupa hiyo CV!!! Sijui!!
   
 13. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Udini, No! Zahra Nuru ni mama mwenye historia ya uchapakazi na wala sidhani kwamba ameteuliwa kwa misingi ya udini. Ingawa atakuwa ameshapita umri wa kustaafu anaweza kutoa msaada mzuri kwa Rais. Huyu mama alishawahi kufanya kazi enzi za Mwalimu Nyerere kwenye Cabinet Secretariat if I remember correctly. Pia kama nakumbuka sawasawa alishawahi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya at one point wakati wa Mzee Ruksa. Vile vile anao uzoefu wa kutosha katika nafasi aliyopewa kutokana na kufanya kazi UN.

  Sasa mtu wa aina hii ambaye CV yake imesheheni uzoefu aachwe tu kwa sababu ya jina lake la 'Zahra'?

  Hili la kuteua majina ya Kiislamu lisitutishe kwa sababu uteuzi wa aina hiyo haubadilishi misimamo ya dini zingine wala kupunguza idadi ya waumini individuals wa dini zingine. Tutishike pale tutakapoanza kuona wanatumia madaraka yao vibaya kwa misingi ya dini zao.
   
 14. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2009
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
 15. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2009
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  MAANE GONGA HAPAhttp://www.tanzania.go.tz/newf.html
   
 16. B

  Bull JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2009
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mbona hujaomba CV au vetting kwa wale majaji kumi walioteuliwa na JK? au kwa sababu huyu humjui kama ni mwanamme au mwanamke? nadhani unalakojambo. wtaku-wind up na utalisema, nasubiri.
   
 17. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280

  Asante mkuu Kobe. Ila umeunganisha hapa na httt:...Nitainukuu na kuifanyia kazi if at all the our national website inakuwa updated promtly jambo linapotokea.
   
 18. b

  bnhai JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,207
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Cheers
   
 19. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Waje sasa hivi kuni-wind up, rolling up, bending up, etc. Siwaogopi. Basi na waje hapa watufafanulie uozo wote uliopo. Shitishiwi mimi. Ndipo hapa watashangaa tutakapotizamana uso kwa uso hawataamini kuwa ni mimi naandika hapa. Sana sana nitawaambia nimechoka na wanifukuze kazi!! Naamini umenipata kidogo hapo!!!!!!!!! Hapa kwenye jamvi tuko wengi!!!! wa aina tofauti tofauti!!!!!!! Karibu.

  N.B Majaji wote wako juu ndiyo maana sijawaulizia!!!!!!! Kuna la zaidi kaka/dada??
   
 20. b

  bnhai JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,207
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Si kuchoka unafrustrations zako. Haya huyo mama hayuko juu? Yah unapaswa pia kutambua hauko peke yako hata mie watashangaa naandika hopeful tutakutana wanapotufukuza. Lakini hii haijastify kutokuwa wakweli tuache kukurupuka. Tutumie akili zetu kwa busara maana mtundiko wako umejaa jazba
   
Loading...