Muungano wa tanganyika na zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muungano wa tanganyika na zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Barubaru, Jul 17, 2009.

 1. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hakika kuna mengi sana ya kihistoria katika huu muungano wa tanganyika na zanzibar..

  sasa ningependa kuuliza kwa mitazamo yenu muungano huu baada ya miaka zaidi ya 45 je umeimarika au umedorola?.

  sisi kama vijana, wengi wetu tukiwa tumezaliwa baada ya muungano 1964 ,ni jambo gani tulifanye kuuimarisha?

  nini matatizo ya muungano na nini faida zake?.
   
 2. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2009
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 701
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli muungano huu una mema na maovu.Mie ni engineer wa mzalendo.net, ambayo ni blogi ya community mostly wazanzibari.Na tunapiga kura ya maoni kwa watembeleaji wetu, nikiwemo na mwenyewe wengi wao nahisi hawataki muungano kwa format iliopo.Na wengi wanahisi kama mungano uliopo ni aina moja ya ukoloni wa Tanganyika katika visiwa hivyo.

  Kwa hiyo kujibu nini tufanye, nahisi ni kubadilisha mfumo wa serekali mbili kwenda 3.Kura ya maoni tuliyofanya ambayo bado inaendelea, hakuna mzanzibari aliekuwa hataki mabadaliko.Hizi ni result za kura hiyo ya maoni ambayo inaendelea:

  Muungano gani unaopendelea?

  • Serikali 3(SMZ,TANG,TZ) (50%, 17 Votes)
  • Sitaki muungano (44%, 15 Votes)
  • Serikali 4(SMZ,PBA,TANG,TZ) (6%, 2 Votes)
  • Sitaki mabadiliko (0%, 0 Votes)
  Total Voters: 34
   
Loading...