- Wakuu heshima mbele sana, sometimes ni vyema tuka-pose mashambulizi na kutoa soulution. Najua JF ni vichwa sana na sio mchezo inapokuja kwenye siasa na uongozi wetu wa taifa, sasa hebu tuone...
Almost half a century has passed since independence. We are in the second decade of the 21st century and we are not worthy of even being called an agricultural society because of the way our...
Ktk harakati za wazee wa znz za kumfungulia mashitaka Rais mstaafu wa jamhuri ya muungano Mh Benjamin Mkapa,yapo masuala mengi na fununu nyinyi zimejitokeza miongoni mwa wananchi wa znz kuhusu...
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewashauri wananchi wa Jimbo la Igunga mkoani Tabora wasimkatae Mbunge wao Rostam Aziz wakati wa uchaguzi mkuu ujao kwa kusikia maneno yanayosemwa bungeni, badala yake...
Ammiminia sifa Rais Kikwete
Ataka awe mgombea pekee
Rais Jakaya Kikwete
Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar, Dk. Mohamed Ghalib Bilal, ameanza mbio za kuwania Urais wa Zanzibar kwa...
'Kina mama wengi Moshi wana saratani ya matiti'James Lanka, Moshi
MKOA wa Kilimanjaro umeelezwa kuwa miongoni mwa mikoa yenye kinamama wengi wenye matatizo ya saratani ya matiti na shingo ya...
LAITI UNGEKUWA UKIWANUNIA HIVI MAFISADI WAKINA
ROSTAM,LOWASSA NA WENGINEO UFALME WA MBINGU UNGEKUWA KWAKO BABA....NA JF TUNGEKUTUNUKIA
PHD KWA HESHIMA YA JF
Rais Jakaya Kikwete
HUU NI UPPUZI MTUPU;WAZIRI S.SIMBA ANADAI SERIKALI AWAWEZI KUMFIKISHA MAHAKAMANI MTUHUMIWA WA RADA MH CHENGE SABABU AWAJALETEWA TAARIFA ZA KAMA KUNA DENI WANADAI
SIKIA HUYU MWINGINE NA VERSE...
ADAIWA KUFANYA KAMPENI ZA UBUNGE KABLA YA MUDA ULIOPANGWA
Daniel Mjema,Moshi
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Moshi mjini kimempiga marufuku Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya chama hicho mkoani...
"Tumeuanza mwaka wa tano na wa mwisho wa Term ya kwanza ya Rais Kikwete.................Tunaweza kutaja mambo 10 ambayo Rais Jakaya Kikwete ameweza kuyafanya na kuyafanikisha na yaliyomshinda kwa...
- Wakuu heshima mbele sana, Tanzania ni muda mrefu sasa tumekuwa tukihangaika sana na hii ishu ya mapumziko baada ya utumishi wa siasa na serikali yetu, hii ishu imekuwa mwiba mbaya sana kwetu...
‘Chokochoko dhidi ya Bunge ni uchochezi'
Imeandikwa na Stella Nyemenohi; Tarehe: 21st February 2010 @ 23:55
HabariLeo
MABALOZI wa amani waliounda umoja ujulikanao kama Amani Forum...
Date::2/18/2010
Mseto Zanzibar baada ya miezi 3
MUUNDO wa Serikali ya Mseto visiwani Zanzibar utajulikana katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya...
Nora Damian
Mwananchi
20/2/2010
BENKI ya Dunia (WB) imeitaka serikali ihakikishe kuwa inaacha matumizi mabaya fedha za maendelelo, kwa kupunguza posho na marupurupu mbalimbali kwa watumishi...
Na Salim Said
CHAMA Cha Wananchi (CUF), kimesema mazungumzo yake na serikali ya Mapinduzi Zanzibar ni siri inayopaswa kuwekwa wazi kwa makubaliano maalumu.
Juzi Katibu Mkuu wa CUF, Maalim...
baada kamati ya mzee mwiyi kuanza kazi yake, jana kwenye hoteli ya ngurudoto vigogo hawo wawli walikimbiana baada ya spika wa bunge samweli sitta kutotia miguu kweye hoteli hiyo, kamati hiyo...
CHUO Kikuu cha Fatih cha nchini Uturuki kinatarajiwa kumtunuku Rais Jakaya Kikwete, Shahada ya Uzamivu (PhD) ya heshima, imefahamika.
Ikulu, Dar es Salaam imesema, Rais Kikwete anaondoka leo...
Na Saed Kubenea
MwanaHALISI
UWEZEKANO wa Rais Jakaya Kikwete kugombea bila mpinzani ndani ya chama chake, umeanza kutoweka, MwanaHALISI limeelezwa.
Mkakati mpya wa kumuhusisha na kashfa...
DAILY NEWS Reporter,
19th February 2010
TANZANIA can promote the agenda of good governance because it enjoys the highest press freedom in the East African region, Minister for Foreign Affairs...
Govt: Richmond scam files far from closed
By Edwin Agola
20th February 2010
All those implicated will be taken to court, says minister
Foreign Affairs and International Co-operation...