Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa wiki hii nimeona taarifa kama mbili zikiripotiwa na Steven Chua wa ITV aliyeko Nyamongo huko Tarime - Mara kuhusu ile ishu ya uchafuzi wa mazingira ulioleta mgogoro na wananchi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jana usiku nilishangaa sana kuona Makamba anampigia debe Mh. 6 jimboni mwake kuwaambia wapiga kura kuwa wao ni wajanja ndo maana waliweza kumchagua mtu ambaye ni mjanja, na pia kwa sababu wabunge...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
The Loliondo saga has taken a new twist as the Minister responsible for Tourism/Hunting has declared that some of the Maasai there are not Tanzanians. At the same time some of our 'enlightened'...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa hali ya nchi sasa ambayo imelemewa na misukosuko kuanzia kwenye chama hadi serikalini. Nchi imekumbwa na ufisadi wa kupita kiasi, ukandamizaji, uongo na kukithiri kwa uroho wa madaraka. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
LIKE the World Bank before it, the European Union (EU) has decided to get tough with Tanzania over the slow pace of investigations and prosecutions of various cases of grand corruption, by...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Opposition leaders come up with constitution proposal The opposition yesterday announced a raft of drastic changes in a "draft document" as part of its "roadmap to a new constitution" often...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI, MHE. RIZIKI OMAR JUMA (MB), KUHUSU MAKADIRIO NA MATUMIZI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAMBO YA MUUNGANO KWA MWAKA WA FEDHA 2009/2010 1...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kenya MPs agree big cabinet cuts BBC News Online The large cabinet was part of a reconciliation deal Kenyan MPs have passed a bill with an overwhelming majority to nearly halve the number...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu Watanzania wenzangu, Sijawahi kuchangia wala kuandika hoja katika uwanja huu mbali ya kuwa mwanachama kwa zaidi ya mwaka mmoja. Kilichonivuta leo kuandika hapa ni upotoshaji wa hali ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukisoma JF na magazeti mengine unaweza kudhani kwamba, mwaka 2010 Kikwete hawezi kuambulia hata 20% ya kura za watanzania. Lakini hali halisi nchini ni nyingine kabisa. Nimetembelea Mwanza...
0 Reactions
73 Replies
8K Views
KUna taarifa rasmi kwamba kuna mtumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kuanzia sasa. Taarifa zaidi baadaye.
0 Reactions
57 Replies
9K Views
Date::9/16/2009Makamba amfuata Spika Sitta Urambo, ampigia magoti ASEMA HANA UGOMVI NAYE, ASEMA ALIKUWA MLEZI WA NDOA ZA WANAYE Na John Dotto, Tabora Mwananchi KATIKA kile kilichoelezwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kutoka Gazeti la MwanaHALISI la August 26, 2009 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, John Chiligati aliwaambia waandishi wa habari baada ya kikao cha NEC, "Tumesema inatosha. Hapa tulipofika...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
2009-09-11 08:21:00 Dar to lose Sh400bn in World Bank cashBy Samuel Kamndaya and Mkinga Mkinga THE CITIZEN Tanzania stands to lose $312 million (about Sh405.6 billion) in soft loans from the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nov 18, 2004 The head of the Catholic Church in Tanzania, Polycarp Cardinal Pengo has lashed out at the perpetrators of clashes claiming to pursue a religious cause. (Guardian, April...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
RAIS wa Zanzibar Amani Abeid Karume amesema Serikali haitafuta matumizi ya vitambulisho vya mzanzibari mkaazi kama kigezo moja wapo cha kuandikishwa kuwa mpiga kura kama ilivyopendkezwa na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Haya jamani, KUMEKUCHA, tunaambiwa Lowassa atamng'oa JK 2010 kwa kuwa tayari "Ametakasika" katika lile kashfa la Richmond. Tujadili kama Taifa. Hao wadadisi wa mambo wa Tanzania Daima Jumapili...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Kila kukicha wenzetu wanatuzi ubunifu, ingawa siasa zao ni hatari kuliko za kwetu, ikija kupiga hatua za kimaendeleo hata robo hatuwakaribii. Nawaonyesha mfano kutoka Kenya ambao wametumia brand...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Walipokuwa Butiama walishikana mashati na kutoleana kauli chafuchafu. Kwenye kikao cha Bunge cha Juni 2009, mashati yakaendelea kushikana na mikakati ya usuluhishi ikafanywa. Kwenye baraza la...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Shalom wapendwa....haya ni maono tu na kama tutaendelea kuwa na uzima hakika RAIS wetu kikwete atajuta kukumbatia KAGODA ...... kwa habari zaidi soma mwanahalisi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…