Kesi inayokwenda mahakamani inahusu noti.
Kesi Zote ni danganya toto maana unaweza kusema kuwa inakuwa kama ni Kampeni za kwa ajili ya uchaguzi mwakani ili tusema kuwa wamefikishwa mahakamani. ukiona kuwa mfum wa benki kuu kuna kila aina kwamba watu wengi walishiriki vitendo vya ufisadi benki kuu, kuanzia waziri, katibu, kwa maamuziHizi kesi za BOT kwa nn zinabagua ina maana katibu mkuu na waziri wa fedha hawahusika kwa namna yeyote ile?
Yule Kweka kwa kweli anatia huruma
Kesi Zote ni danganya toto maana unaweza kusema kuwa inakuwa kama ni Kampeni za kwa ajili ya uchaguzi mwakani ili tusema kuwa wamefikishwa mahakamani. ukiona kuwa mfum wa benki kuu kuna kila aina kwamba watu wengi walishiriki vitendo vya ufisadi benki kuu, kuanzia waziri, katibu, kwa maamuzi
Kwi kwii kwiiiiii, yale yale na kwa taarifa yenu kweka haruhusiwi kuonekana kwenye mkusanyiko wowote mf.kanisani which means analindwa na sirikali hii tuijuayo.
kabisa aisee, changa la macho hivi hivina kabla ya machi 2010 usishangae kuona kubwa lao a.k.a. kagoda
likikamatwa na keshi kuendelea kutajwa mpaka baada ya uchaguzi.