Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Angalizo: mbona huwa hagusii 'mavuno ya kudumu' ya madini? au hayasaidii pato la taifa na kupunguza hizo 'inflation'? wachumi mwasemaje katika hili Tanzania Inflation Likely to Slow on Good...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani imenishangaza sana kuona kwamba Chama chenye nguvu, wasomi, sera nzuri leo wanaingia kwenye mtego wa CCM. Wameanza kwa kumtumia Mfadhili wa CCM kupewa fedha za msaada, Chadema...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ukoo wa Mwalimu Nyerere sasa taabani *Yatima, vitegemezi wake wakosa msaada *Dada yake afariki kwa kukosa nauli ya kwenda Dar *Kikwete,Museveni wafichwa ukweli wa mambo Majira, Na...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
I have been looking at some of the accusations leveled against our First ladies regarding their participation in public life of this country.Some people feel that First Ladies should not engage in...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Hii ni Openda maalum ambayo ni miongoni mwa 'sample' 2,000 zilizoletwa na wana DIASPORA huku zikiwa kivutio kwa Rais Jakaya Kikwete ambapo ametoa oda ziletwe 100,000 zitakazotumika kama moja ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, habari zenu. Naomba kufahamu, ni zipi tofauti kuu, za kielimu, za kiutendaji, za kiufahamu wa mambo mbalimbali nk zilizopo kati ya makatibu wakuu wa vyama vikuu vitatu vya siasa Tanzania...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi jamani what are our priorities? ofisi ya Mbunge mmoja inathamani ya 170 mio. na hapo hatujatoa gharama za huduma zitakaziambatana na kuiendesha kama ya secretary na mlinzi! Kipindi hichi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Here we go again :lying: LOL! and of course he knows he will be gone by then Tanzania plans to move capital to Dodoma in five years 15:48, July 14, 2010 Tanzanian President Jakaya...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwa ujumla sielewi sheria gani zinachukuliwa mtu akitaka kugombea ubunge,Labda mtu yoyote yule anaweza kwenda kuchukua form na kujaza basi,Sidhani kama kuna sheria zozote zinaangaliwa kama...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tanzania ilirejea katika mfumo wa Vyama vingi vya Siasa mnamo mwaka 1992, toka kipindi hicho tumeshuhudia Chaguzi tatu 1995, 2000, 2005 na mwezi October 2010 tunatarajia kufanya Uchaguzi wa nne...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nawapongeza wanachama 16, wa CCM waliopiga kura ya HAPANA,kwa JK wameonyesha ukomavu wa kisiasa, hiyo ndio demokrasia.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nilishangaa kumuona dokii kwenye mkutano wa ccm, mara flora mbasha mara marlaw........ Sijui kama ni burudani au ni kuganga njaa.... But honestly ....nimeona kama hawa wasanii wamejidhalilisha...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Ukiwa kama mwana JF ambaye unataka mabadiliko ya kweli kwa watanzania, leo hii JK anakuteua kushika wadhifa fulani serikalini au katika shirika la umma; je utakubali? Kama ndio au hapana, tupe...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari nilizozipata hivi karibuni ni kuwa kumbe JK alidanganywa na maafisa wa NICOL na kwenda kufungua kiwanda cha samaki Mwanza na baada tu ya kufanyiwa usaini wa kuonyeshwa process ya kuakata...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu wana JF Mimi binafsi sijafurahishwa na vile Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ulivyotumika kuwananga viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kwa kuitwa ‘mavuvuzela’...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WAKATI vyama mbalimbali vikijitokeza kuwania nafasi ya Urais, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakina papara ya kumtangaza mgombea wa nafasi hiyo mapema kwa kuhofia...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
MENEJA Uhusiano wa Benki ya NMB, Shyrose Sadruddin Bhanji, amejitosa kuwania nafasi ya ubunge jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa lengo la kuwa...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Bonyeza picha
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The worst dictators named by US organisation THE SRI LANKA GUARDIAN, June 22, 2010. http://www.srilankaguardian.org/2010/06/worst-dictators-named-by-us.html A US organisation which prepared...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Jamani Mahakama ya Rufani Tanzania imetoa ukumu ya Naibu waziri Maua Daftrai kumlipa mdeni wake 100.7M aliyemtapeli. Je kwa hili anastahili kubaki waziri. Kosa ni wizi wa kujiaminisha.
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…