Elections 2010 CCM na wasanii waliofulia....

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,885
Nilishangaa kumuona dokii kwenye mkutano wa ccm,
mara flora mbasha mara marlaw........

Sijui kama ni burudani au ni kuganga njaa....
But honestly ....nimeona kama hawa wasanii wamejidhalilisha hivi....

Halafu msanii akishafulia kama dokii ukija kumuona
kwenye mkutano wa ccm ....
You just feel pity..........

Wasanii hawa nimeona kama wamejishusha hivi.....
Sijui nyinyi mnaonaje........
 
WIFE KANAMBIA MPENDWA WA BWANA ALIKJUWA ANAKATA MAUNO utadhani ni KIBAO KATA....au KIDUKU.... NI KWELI JUU YA MPAKWA MAFUTA WA BWANA WA DUNIA HII AU MAI WAIFU WANGU KATELEZA ULIMI?
 
Nilishangaa kumuona dokii kwenye mkutano wa ccm,
mara flora mbasha mara marlaw........

Sijui kama ni burudani au ni kuganga njaa....
But honestly ....nimeona kama hawa wasanii wamejidhalilisha hivi....

Halafu msanii akishafulia kama dokii ukija kumuona
kwenye mkutano wa ccm ....
You just feel pity..........

Wasanii hawa nimeona kama wamejishusha hivi.....
Sijui nyinyi mnaonaje........

Hivi ukiwa msanii na kujiunga na CCM ni kufulia? Nilikuwa silijui ili!
 
Kwishnei habari. Umeona dogo Bushoke alivyoanza hotuba akaambiwa na Komba aimbe aache maneno mengi. Dogo naye anataka kuwa mwanasiasa nini? Kweli njaa bongo kali.
 
Sasa dokii hajafulia au?
Ni kweli hawa wasanii wanaipenda ccm?
Hawa wana ganga njaa tu,
wamefulia....
 
Dokii, etc kwa CCM = njaa (wanajihami kufulia) + ujinga (shule ndogo)
 
nilishangaa kumuona dokii kwenye mkutano wa ccm,
mara flora mbasha mara marlaw........

Sijui kama ni burudani au ni kuganga njaa....
But honestly ....nimeona kama hawa wasanii wamejidhalilisha hivi....

Halafu msanii akishafulia kama dokii ukija kumuona
kwenye mkutano wa ccm ....
You just feel pity..........

Wasanii hawa nimeona kama wamejishusha hivi.....
Sijui nyinyi mnaonaje........

lets say im dokii's manager.....ccm people called me asking for my client to play at their whatever they call it...... No prize for guessing my answer.......its business......it doesnt matter ni ccm,ccj,nccr,tlp etc.....wanaishi kwa kupiga muziki na wanahaki ya kupiga kwa yeyote bila kujali ni chama gani
 
Fursa iliyobakia kupata maendeleo binafsi ni kujiunga na Chama. Vinginevyo, ingia msituni!
 
lets say im dokii's manager.....ccm people called me asking for my client to play at their whatever they call it...... No prize for guessing my answer.......its business......it doesnt matter ni ccm,ccj,nccr,tlp etc.....wanaishi kwa kupiga muziki na wanahaki ya kupiga kwa yeyote bila kujali ni chama gani

...the probrem here starts with CCM coming to you Manager wa Msanii aliyefulia in the first place! Birds of feathers...? :roll:

Kufulia ndi chanzo..
Marekani huwezi mwita akina beyonce
kuwaburudisha republicans hata kwa bei gani.......
Wana jeuri ya kukataaa.......

Hawa kina dokii hawana jeuri hiyo.........
 
Kufulia ndi chanzo..
Marekani huwezi mwita akina beyonce
kuwaburudisha republicans hata kwa bei gani.......
Wana jeuri ya kukataaa.......

Hawa kina dokii hawana jeuri hiyo.........

contradiction.
wanajeuri ya kukataa.
lakini sidhani kuwa hio red bold sentence ni sahihi.
 
whats the problem??its business
Siyo biziness tu, lazima uwe na conviction pia na kile unachokifanya. Kuna mambo unapoyafanya yanakupambanua ulikoelekea. Huwezi kutofautisha sana kati ya kile unachokisema/kukiimba na kile unachokiamini. Vinginevo ni unafiki wa hali ya juu ya sana. Kwa hiyo hapa si suala la baishara tu, ni zaidi ya biashara. Huwezi kumuimba Kikwete kwamba ni kiongozi bora, na CCM ni nambari One halafu usiwe na imani na hicho nìunachokisema/kiimba kwa kisingizio kwamba hiyo ni biashara tu. Itakuwa ni ajabu. Lazima kwa namna moja au nyingine semina tungo hizo zikupambanue upande uliolalia. Na ni sawa kabisa. Kama hao wasanii wasingekuwa wanaipenda CCM na uongozi wake hata kama wana njaa wangekataa tena kistaarabu tu kushiriki tukio hilo. Ukumbuke waliombwa hawakulazimishwa.
 
Wasanii hawa si kosa lao. Wao wanatafuta pesa ni akam wanavyokuja kwenye harusi na kitchen partry zetu.

Tatizo ni CCM inapowakusanya watu wa ain hii kwa wingi kiasi hiki. Ndo baadaye wanojiingiza ktk siasa kama alivyo Komba. Lakini ukiangalia hata siku moja hawana mchango wa kisiasa unaoweza kuiokoa nchi. Elimu ndogo, ufahamu mdogo, nk.
 
Jamani guys ur missing something JK and co et al ni wasanii waliofulia hao akina Mbasha, Dokii, Nature ni mule mule heeeeeeeeeee
 
flora mbasha
jamani mimi huyu ndo amenisikitisha kabisa.........ni mpendwa hasa ila hapa kachemka......huwa anadai kuwapeleka watu kwa heaven kwa sir god,chaajabu leo anawasindikiza watu upotevuni......imeniuma kinoma,yaani naandika moyo unahasiraa kinomi.
Nimenotice kitu kimoja,majority wa watumbuizaji na njaa tu,kukosa uzalendo,uelewa mdogo and mostly are are after money.wote walioitwa maboya na shule ndogo.......wangemuita mpoto...........
Bora ata mdada wa b.o.t yeye alikuwa anamuimbia mumewe....heri yake!!
 
Siyo biziness tu, lazima uwe na conviction pia na kile unachokifanya. Kuna mambo unapoyafanya yanakupambanua ulikoelekea. Huwezi kutofautisha sana kati ya kile unachokisema/kukiimba na kile unachokiamini. Vinginevo ni unafiki wa hali ya juu ya sana. Kwa hiyo hapa si suala la baishara tu, ni zaidi ya biashara. Huwezi kumuimba Kikwete kwamba ni kiongozi bora, na CCM ni nambari One halafu usiwe na imani na hicho nìunachokisema/kiimba kwa kisingizio kwamba hiyo ni biashara tu. Itakuwa ni ajabu. Lazima kwa namna moja au nyingine semina tungo hizo zikupambanue upande uliolalia. Na ni sawa kabisa. Kama hao wasanii wasingekuwa wanaipenda CCM na uongozi wake hata kama wana njaa wangekataa tena kistaarabu tu kushiriki tukio hilo. Ukumbuke waliombwa hawakulazimishwa.

kwahio KOSA LAO NI KUIPENDA CCM???
 
Kama Dokii alikuwa anakata mauno si aliona wazee WAKWARE wa CCM wapo pale, huwezi jua kesho na kesho kutwa utasikia DOKII anagombea ubunge wa Viti maalum, ukiuliza chanzo utaambiwa alicheza vizuri ile siku ya mkutano mkuu DOM, na mzee fulani alimwona akapumzika pale sasa anamwezesha, si kama Vicky kamata jamani HAMWONII??
 
Kuna watu ambao zamani walikuwa walokole lakini sasa wameasi kabisa, ila kwa vile wajatangaza hadharani kuwa wameasi watu bado wanawachukulia kama walokole ukweli sio hivyo. Flora Mbasha matendo yake hayaendani kabisa na ulokole na ndo maana sas hivi anaburudisha zaid katika shughuli zisizo za kanisa zaidi kuliko kumtukukuza mungu- kwa kifupi ni kuwa alishaanguka zamani-uthibitisho ni huo. Kakobe sijui yuko wapi kumshambulia Flora Mbasha maana alimshambulia sana Rose MUhando kupokea Kili award- Je kwa Flora Mbasha hajaona? au kwa vile ni mjuu wa Moses Kulola au vile Rose Muhando ni Mprotestant Flora Mpetenkoste? angekuwa ni Rose Muhando Kkobe na wachungaji wengine wangenyamza?
 
Back
Top Bottom