Wakuu jana Chadema jimbo la Nkenge wamezindua kampeini za kutafuta kuchaguliwa kuwa wawakilishi wa jimbo zilizofanyika eneo la Ishozi na Mgombea wa Udiwani pamoja na mgombea wa ubunge Mr Phocas...
Moz unrest shows power of SMSes
Maputo - Deadly protests that paralysed Mozambique's capital last week were spurred by a text message on Maputo's cell phones, signalling the power of new...
Na tuweni wakweli? Katika wagombea URAIS bila kuangalia chama..ukiambiwa pigia kura "UADILIFU, HAKI na UZALENDO nani anastahili??? Jibu lako nani apewe uongozi wa nchi???
Mtanzania yeyote...
Parties win poll appeal
By: WERNER MENGES
THE case in which nine opposition parties are challenging the conduct of Namibias National Assembly election late last year has been sent back to the...
Mtu mwenye data aziweke ukumbini tuone impact ya magazeti haya ya Udaku.
Kila gazeti wanauza copy ngapi kwa siku?
Daily News
habari leo
Mwananchi
Tanzania Daima
Nipashe
Guardian
Tangu kuanza kwa kampeni za ubunge na urais tumeshuhudia majibizano mengi ya maneno na kuchafuana kunakolenga kupunguza nguvu ya upande mmoja. Katika kuchunguza kwangu nimegundua kuwa walengwa...
China may have found an environmentally friendly way to save money while easing congestion on city roads, Engadget reports.
Instead of spending millions to widen roads, the Shenzhen Huashi...
Mh. Raisi J.M Kikwete ametoa ahadi kuwajengea nyumba wakazi waliokumbwa na mafuriko wilayani Kilosa ktk kampeni yake ya uchaguzi. Pia itakumbukwa kuwa Kiongozi wa Libya alitoa ahadi kama hiyo, ila...
CCM wanatumia nguvu nyingi sana kujitangaza! Wamezagaa kila mahali kwenye mitandao!
Cha ajabu ni kwamba CHADEMA sijui hata kinachoendelea, siamini kwamba CHADEMA hakuna uwezo wa kufanya hivyo! A...
Asalaam Aleykum,
Taarifa nilizokuwa nazo ni kuwa Chama Cha Mapinduzi kimeunda kamati
ya propaganda kwenye kampeni za uchaguzi inayo ongozwa na PRINCE BAGENDA
akisaidiwa na MUHINGO RWEYEMAMU...
Na Maggid Mjengwa,
SIKU hizi imekuwa ni burudani kusoma magazeti, kusikiliza redio na hata kutazama televisheni. Maana kuna habari ambazo ni vituko vya uchaguzi haswa. Ni vioja. Na kila...
Mwaka huu duh! Kuna kazi kweli kweli. Wagombea urais wawili wakuu wanaochuana vikali katika kampeni yaani JK wa CCM na Dr Slaa wa Chadema wote wawili wamejikuta wanafunguliwa kesi za madai...
Kuna ka-kampuni fulani niliwahi kuambiwa ndo kana-haki miliki ya kuratibu mambo yoote ya madini ya Tanzanite.
Haka ka-ofisi kako based Johannesburg - sehemu za Sandton, hivi kuna ukweli wowote...
WATU wanaoaminika kuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kijiji cha Sengenya wilayani Nanyumbu, mkoani Mtwara mwishoni mwa wiki iliyopita waliwazingira na kutaka kuwapiga viongozi wao...
Wanasiasa wa Tanzania mbona kama wana sound the same? Au ni masikio yangu tu? Hebu msikilize Zitto hapa
YouTube - Maendeleo-Mkutano wa Nane Kijiji cha Mgaraganza, Kata ya Kagongo,Kigoma Kaskazini
Tanzania is an exceptional case when it comes to the pattern of violence and instability that has prevailed in many parts of Sub Saharan Africa since independence. Despite the presence of numerous...
kwa nini sera za ccm zimekuwa za jumla jumla mno, mfano
-tutaimarisha usafiri wa nchi kavu, majini na angani
-tutashughulikia suala la kadhi
-tutaboresha sekta ya kilimo na mifugo
-tutaimarisha...
KWA muda mrefu sasa vyombo kadhaa mbalimbali vya habari na watu binafsi vimekuwa vikieneza habari kuwa Dk. Wilibroad Slaa ni Padre wa Kanisa Katoliki na kuwa kwa vile aliwahi kuwa Padre (kuhani)...