Watanzania wapo BIAS? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wapo BIAS?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mstahiki, Jan 17, 2008.

 1. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimewaza sana na kujiuliza nini Tofauti ya Mtanzani na Mhindi(Mtanzania mwenye asili ya India).Inaonekana Serikali na makampuni mengi ya yamekuwa yakipiga deal na wahindi kuibia fedha na mali za wananchi watanzania hawakufanya big deal for long time..Hii ishu ya Balali inaonekana Watanzani ambao hawana asili ya kihindi ndio wamepiga deal na imekuwa BIG DEAL!!mimi sipendi kuona Mtanzania yoyote anafuja mali ya uma kwa sababu ya cheo na nafasi yake...lakini pia nisingependa kuona Wananchi wanakuwa Bias kwenye kuhukumu Deal ikipigwa na wahindi inakuwa poa ila ikipigwa na mmatumbi inakuwa sio poa..

  Nnaombamaoni yako ya dhati
   
 2. Zalendohalisi

  Zalendohalisi Senior Member

  #2
  Jan 17, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole ndugu yangu,

  Pesa zoote hizo unazozisema zimeishia kwa wahindi, na tunazipeleka huko sisi wenyewe. Nitakupa mfano huu hapa. Ukiibiwa kioo cha gari au simu yako hapo Dar, anayeiba na kupigwa ni kibaka mswahili, na akikamatwa na kuchomwa moto ni waswahili ndio wanao mchoma moto mswahili mwenzao.

  Sasa sikiliza hili; asipokamatwa ile simu na kile kioo cha gari vinaishia kwa wahindi na siku hizi parts za magari zinaishia gereji za wachina. Tatizo ni ujunga wa waswahili kukubali kwa ajili ya njaa, kuwafanyia wahindi na wachina the dirty work. CCM iliagiza sukari kutumia Jeshi kwa pesa za watanzania halafu wanampa mhindi Yusuf Manji awauzie. Baadaye wakaanza kuumbuana hadi Dr Omar akafa kwa pressure baada ya Manji kumwambia atasema ukweli na kufichua siri! Manji andunda na Yanga Dr Omar tumemzika! Nani wa kulaumiwa!

  Shida ni kuendekeza umaskini wetu na tunatumia na hao unaodhani hawasemwi. Sasa unatake umseme huku wewe ndiye umekamatwa. Wajinga ndio waliwao
   
 3. mtuwawatu

  mtuwawatu Senior Member

  #3
  Jan 17, 2008
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kumbe nae dr omari alikuwa fisadi tuu du bongo, haki ya mama nikitia timu nitachoma wote
   
 4. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2008
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  kwani unadhani hakua fisadi???

  hata huyu aliyopo naye ni fisadi tu japo wapemba wanamtetea.Kama ndivyo angekua alishajiuzulu siku nyingi.Hii serikali ni ya mafisadi tu .tz ni serikali moja tu ambayo haikua na mhimili wa ufisadi ila nayo hii serikali iliona elimu ni ngumu ikajaribu ujinga.
   
 5. M

  Mpanda Merikebu Senior Member

  #5
  Jan 18, 2008
  Joined: Dec 27, 2007
  Messages: 170
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mwana harakati, pamoja na kuwa bias, baadhi yetu pia hupenda kukiss ass huku tukiuana wenyewe. Ukitaka kuanzisha biashara, mhindi atakulaghai uende kwake usimsaidie mtanganyika mwenzako. Yaani hii ni wazi kiasi kwamba yule wakili maarufu mwenye benki ya herufi ya kumi na tatu ya kiingereza alisema kuwa ubia wake na wahindi ni kutokana na ukweli kwamba angekuwa mwenyewe au na ngozi nyeusi wengine, hata hiyo benki ingekuwa ndoto. Hili ndio jambo ambalo Iddi Simba (na Mengi pia) wamekuwa wakilipigania kwani kama wafanyabiashara chipukizi, walipata shida sana na wasingependa wengine wapate shida waliyopata wao.

  Kwa kifupi na kwa mawazo yangu, wahindi wamechangia kwa kiasi kikubwa sana uwepo wa kero ya ufisadi.
   
Loading...