Kama mtu ambaye nimemuunga mkono Dr. Slaa na kuamini kuwa ni mtu aliyepaswa na anayestahili kupewa nafasi ya kuliongoza taifa nimeshtushwa na kusikitisha na tamko la UVCCM hususan mashambulizi yao...
Wadau,
Kwa mara kadhaa nimekuwa nikihitaji saana niingie ktk siasa za Tanzania/Tanganyika, lakini kila nikiwaona wanasiasa mbalimbali (baadhi mawaziri & hata wenyeviti wa vyama vya siasa...
1. Ni kesi gani ilifunguliwa Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara mwezi Dec 2010 inayohusu Dowans? Mbona kesi hiyo haipo tena?
2. Ni kesi gani imefunguliwa Mahakama Kuu Masjala ya Kawaida (Normal...
Wana JF;
It is extremely hard to analyze the state of self-consciousness the African leaders could be rated as far as people's leadership is concerned. Their brutality against their own...
Tanzania Imefikaje Hapa? Kuna makosa sisi kama Wananchi tumefanya kuweka watu kama hawa kuongoza Taifa letu. Kwanini tunaendelea kukubali sauti na maelekezo ya Chama kimoja wakati mfumo wa Siasa...
CCM-CC blesses Dowans payment
By BILHAM KIMATI, 21st January 2011 @ 16:00, Total Comments: 0, Hits: 114
JUST a day after the CCM Youth Wing (UVCCM) denounced payment of 94bn/- to Dowans, the...
Ndugu zangu naomba msome ibara hii niliyoinukuu kutoka kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Angalieni ibara ya 54(5) na mnisaidie kuielewa,hainiingii akilini.
Katiba ya Jamhuri ya...
Mbinguni Kuna utatu Mtakatifu unaofanya kazi yake kwa umoja na kupewa jina la MUNGU. Mungu Baba yupo katika kiti cha enzi, Mungu mwana anatuombea na alijidhihirisha kwa kufanyika mwili ili...
Kama ni kuwa limbukeni basi nionavyo Chadema wanaelekea huko kwani mengi wayafanyayo inakuwa kama ni mambo ya Mshamba ,inasemwa mshamba kaingia mjini.
Ukiangalia mambo ya Chadema utaona...
Viongozi wote wa CCM baada ya uchaguzi wa 2011 wamekuwa wakiimba udini lakini hawaelezei ni kwa nini mwaka 2005 JK alipopata ushindi wa kihistoria hakuna aliyekuwa akilalama na...
Eurobonds are the rage across the continent: Tanzania is looking at a USD 500 million eurobond launch in FY2011-12; and Kenya, Zambia and Angola are also planning.
The funds will be much needed...
Pengine yanayosemwa kuhusu ukaribu wake na wale wanayoiongoza Serikali yake kwa namna moja au nyingine ni watu wake wa karibu sana. Na hii imegusa sasa mihimili yote ya dola na hata ndani ya chama...
Damu ilio mwagika ya wtanzania Chadema isiwe bure,mukitaka kuingowa ccm ni kutumia nguvu ya umma sio chama kwa mkowa.
Nchini Tunisia, maandamano ya Umma yameweza kumuondoa...
Kiongozi mmoja wa CHADEMA amekaririwa akisema hivi:
" In any case, kwa wale wanaojua historia ya CHADEMA hawawezi kupuuza mafanikio ya Mbowe kama kiongozi. Wanaofuatilia mambo ya siasa Tanzania...
Jamani imetosha, watz 2amue nani wakututawala, serikal gani isiyojali wala kuckiliza maon ya wananch wake. Wanachuo wanateseka na kuna eti bodi ya mkopo. Vijana popote tulipo tujipange tafadhali...
I believe the payment to Dowans will be one of the most audacious and contemptuous action by the government against its people. I for one opposes these payments not just because they are illegal...
Why you might ask ?
Hii ni Kizazi ambacho kiko kwenye process ya kumaliza madini yetu bila faida wala kuwekeza kwenye long term investments (viwanda miundombinu etc) our grandchildren will inherit...
Kipima Joto ya ITV cha jana kimezidi kutudhilishia umuhimu wa kufanya madiriko ya uongozi wa nchi yetu. Katika safu ya watu wanaendesha nchi yetu tuna watu wengi sana wa aina ya Tambwe Hiza...
ALIYEWAHI kupambana na Profesa Ibrahim Lipumba kwenye kinyang'anyiro cha kugombea nafasi ya mwenyekiti wa CUF,
Profesa Abdallah Safari, amejivua uanachama wa chama hicho.
Taarifa ambazo...
Kwa niaba ya M/kiti wa CDM Wilaya ya Njombe (mkoa mpya wa Njombe) napenda kuwafahamisha wapenda mabadiliko wote hasa wapenzi, wanachama, mashabiki wa CDM na wananchi kwa ujumla kwamba tunaendelea...