Siasa na nguvu za giza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa na nguvu za giza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpevu, Jan 22, 2011.

 1. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wadau,
  Kwa mara kadhaa nimekuwa nikihitaji saana niingie ktk siasa za Tanzania/Tanganyika, lakini kila nikiwaona wanasiasa mbalimbali (baadhi mawaziri & hata wenyeviti wa vyama vya siasa Taifa...sio CCM) wamekuwa wakinipa tumaini kuu la kufanya vizuri huko nitarajiapo kwenda jimboni'.
  Cha ajabu zaidi ni kwamba kumekuwa na kauli (si rasmi) kuwa je nimejiandaa KUPAMBANA? Je umewaona wazee wako na wamekuridhia? Je umesomewa na kupewa kinga dhidi ya unaopambana nao?
  At last nikavunjika moyo kwa hali hiyo ya kudondoshwa jukwaani kwa wapinzani wangu eti kuwa ni wafasaha ktk kujikinga, nikielezwa ya kwamba...'jikige kwanza ndipo uingie ulingoni'. Nimeamua nisiingie kwanza hiyo 2015 mpaka nipate ushauri mzuri, dunia yetu vijana na teknolojia na haya mambo ya wazee wetu mbona YANAOGOFYA.
  Nawasilisha naomba ushauri wenu na uzoefu wenu ktk upambanaji wa huko majimboni ukilinganisha na maelezo yangu.
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nimejiuliza sana ya kwamba IS THIS HOW PEOPLE BECOMES POLITICIANS IN AFRICA?
  i guess it might be based to jelous from political oponents & competitors.
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu tena ujipange sawasawa kama aupo kwa mungu lazima ujikite vyema kwa shetani vinginevyo watakupoteza live utackia shinikzo la damu kumbe mkono wa m2 kama umedhamiria kweli jikabizi kwa mungu ucmame nae sawa sawa hakika utashinda mana mungu ni super power
   
 4. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,262
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  My take, huu ulimwengu una misingi miwili either ww ni wa MUNGU au ni wa shetani, hakuna kuwa kati. Chaguo jema ni kuwa upande wa MUNGU lakini uwe deep kiukweli siyo una beep! Maana Yesu alisema inatakiwa uwe wa moto(wa MUNGU) au uwe wa baridi(wa shetani), ila ukiwa vuguvugu Yesu atakuacha na shetani atakutumia atakavyo yeye
   
 5. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ahsante kwa ushauri na angalizo lako,
   
 6. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ahsante, nimekuelewa na NAZINGATIA.
   
 7. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hao wa kwenye giza hamna lolote ni mikwara isokuwa na tangible results but imaginary! Kuwa karibu na watu unaotaka kuwawakilisha ili ujue what they need/ lack na umtegemee Mungu tu, kumbuka whoever serves his country well has no need of ancestors.
   
 8. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Thanks for the advice, considered.
   
 9. B

  Bull JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Kwanini Yesu alichinjwa wakati alikuwa upande wa Mungu ??? Achana na walokole wewe jiandae kielimu na technologia na fuata mising mizuri ya kuheshimu haki za binadamu ndio msingi wa mafanikio.

  Wote waliofuata shetani walihadhirika na pia kufuata Mungu siokuachieve, kunawengi watumishi wa Mungu nao walishindwa na siasa, Mungu yeye anamipangilio yake tafauti
   
 10. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nimekusoma, Nathamini ushauri wako.
   
Loading...