ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,023
- 7,236
Kiongozi mmoja wa CHADEMA amekaririwa akisema hivi:
" In any case, kwa wale wanaojua historia ya CHADEMA hawawezi kupuuza mafanikio ya Mbowe kama kiongozi. Wanaofuatilia mambo ya siasa Tanzania wanajua kwamba Mbowe kaitoa CHADEMA from a docile NGO to a respectable and winnable political party. So far sisi tunajua kwamba Mbowe amekwisha kuipeleka CHADEMA kwenye macho, masikio, akili na nyoyo za watanzania. Kinachofanyika sasa ni kuhakikisha kuwa CHADEMA inafika kwenye vidole vya watanzania ili ifikapo 2010 waweza kukunjua hivyo vidole katika sanduku la kura, na yote haya yanafanyika chini ya uongozi shupavu na imara sana wa Mhe Freeman Aikael Mbowe."
Siku zote malalamiko yaliyokuwepo juu ya CHADEMA kuendeshwa kama chama cha watu binafsi kumbe yana ukweli. Ili iaminike kuwa CHADEMA sio NGO tena basi ni LAZIMA itoke kabisa nje ya influence ya yule aliyeanzihsa hiyo "NGO" ambaye ni mkwe wake Mbowe.Iwapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA basi influece ya baba mkwe Mtei haitaondoka na CHADEMA itaendelea kuwa "NGO"