JK na Mama Spika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK na Mama Spika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ngoshwe, Jan 22, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Pengine yanayosemwa kuhusu ukaribu wake na wale wanayoiongoza Serikali yake kwa namna moja au nyingine ni watu wake wa karibu sana. Na hii imegusa sasa mihimili yote ya dola na hata ndani ya chama na kupelekea maamuzi mengi kuonekana yanakwenda mlama kutokana na kujuana kwingi na kuoneana aibu.
   
 2. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kinyesi!
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Weka vizuri haijaeleweka.
   
 4. n

  nkomelo JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani aibu,unapost kitu unakiwekea kichwa cha binadamu kiwiliwili cha punda. Bado tuna safari ndefu
   
 5. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Haieleweki kabisa hii post, Ngoshwe.
   
 6. n

  ngoko JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo ....
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Uwe na adabu au hujalelewa kuheshimu watu
   
 8. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kuna mtu kaiba ID ya ngoshwe sio andika yake hii.
   
 9. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Inawezekana una jambo zuri la kutueleza lakini hujui namna ya kuli-present. Hebu tuliza akili kwanza.
   
 10. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  1. Maamuzi yanaonekana yanaenda mlama (sic).

  2. Kujuana kwingi.

  3. Kuoneana aibu

  Sikujui so sikuonei aibu, unataka kusema nini? Hicho ulichopost ni taarifa, hoja, wazo au nini Ngoshwe?

  Hebu tusaidie kuelewa ndugu na tutachangia!
   
 11. Madikizela

  Madikizela JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2011
  Joined: Jul 4, 2009
  Messages: 319
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  kWA HIYO.... I am voting this thread as a PUMBA thread for this month
   
 12. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #12
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  yap mkuu mala nyingi unapowaweka marafiki zako ama watu wako unaokula nao rushwa madalakani huwa ni vigumu sana kuwa control na hii ipo sehemu nyingi sana,huweza kumkemea kwa lolote lile thats why mheshimiwa anapata taabu sana kukontrol wale aliowateuwa na ambao wapo karibu na yeye kiundugu na uchama na urafiki
  hatuwezi fika kwa mtindo huuuuu

  mapinduziiii daimaaaaa:kev::A S-fire1:
   
Loading...