Napenda kujua kitendo cha wafanyakazi hasa wa serikarini kutoa siri au baadhi ya nyaraka muhimu za siri hii inaashiria nini hasa?
1.Huwa wanapata pesa nzuri wakitoa hizo siri.?
2.Wanapenda zitoke...
hotuba ya mheshimiwa kabwe zuberi zitto (mb) waziri kivuli wizara ya fedha na uchumi kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2011/2012
see attachment....
GreatThinkers,
Nimefanya tour, toka Rocky city Nzega, nimekaa Igunga siku mbili, juzi nilishinda shelui na nikalala mpaka leo hii niko Singida.
Hali ya Si Si Em si nzuri, iko ICU- Igunga...
Waziri Mkuu alisema kama angekuwa na mamlaka angemuwajibisha Katibu Mkuu Nishati na Madini siku ileile iliposomwa ile barua bungeni.
Baada ya ripoti ya CAG Katibu Mkuu Kiongozi Luhanjo anasema...
- Mbatia kung'olewa uenyekiti September
- Aponzwa na Halima Mdee
- Yadaiwa alihongwa 2010, utajiri wake wahojiwa
Mpango wa kumng'oa madarakani Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia kwa...
Ni wakati wa kuanza kufikili kwa nini wakuu wa kitengo cha habari kutwambia toka uchukuaji wa fomu hadi tarehe ya kurudishwa limekua zoezi lenye uficho sana.
Rai yangu kwa kua wanaharakati...
Variation on any endogenous variable (s) is expressed and determined by the fluctuation or movement of an exogenous factors, this is the way principles say. Tanzanian have been for a long...
Hiki nimeshindwa kukielewe ndo maana nimeona niliulize kwa wana JF. Ina maana naibu waziri hakuweza kusoma hii bajeti?
Kazi yake ni nini sasa?
Huu ndo mzigo kwa serikali maana kunakuwa na...
Wanajanvi,
Habari za uhakika nilizonazo, CCM Imeweka kambi ya vijana mabunsa zaidi ya 200 huko Kiomboi Singida kuwaanda kwa ajili ya kuvuruga na kufanya vurugu kwenye mikutano ya wapinzani...
Ndugu wanajamii wenzangu, naomba kuleta hoja hii mezani kama wanaharakati tuijadili,tuone tatizo na pia tutoe Altenatives.
Ni kuhusu suala la Jairo, Serikali ambayom kimsingi kabisa sisi ndio...
jairo asimamishwa kazi na rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania ikiwa ni baada ya siku moja kurejrshwa ofisin na katibu kiongoz mh philemon luhanjo. namshukuru mh rais kwa kutambua umuhimu wa...
Umetokea wizi wa HARD DISK za kompyuta muhimu ndani ya wizara ya nishati na madini katika kile kinachodhaniwa ni kupoteza kumbukumbu muhimu za ushahidi wa ufisadi wa wizara.
Kufuatia hatua hiyo...
Nina mashaka sana na jinsi ambavyo serikali hii inashughulikia suala la katiba mpya, waziri wa katiba baadala ya kuchukua kama changamoto hotuba iliyowasilishwa na waziri kivuli juu ya muswaada wa...
Napenda kuwapongeza wabunge wote walio na moyo thabiti wa kutetea na kupigania maslai ya Taifa. Ingekuwa vizuri kama wabunge wote wangefikia mahali wakawa na sauti moja na kupiga kura ya...
Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikitizama mfumo mzima wa uongozi katika baraza la mawaziri Tanzania. Mawaziri wamesahau kabisa wajibu wao, wamejikita zaidi katika siasa mbovu za makundi na kufikiria...
Did Karume really tell Nyerere: There shall be one country and you are the President?Comment by Muhammad Yussuf
There shall be one state and you are the President. In forming this Union, there...