Sio uchochezi ni mapendekezo katika katiba

Wanalipwa kwa kazi hiyo...

Mimi nashangaa mtu unanzisha topic haina kichwa wala miguu, headline kubwaa..! mtu anaifungua haraka ndani anakuta upupu mtupu, kama wewe ni mwanaJF, ebu kuwa na fikra pana ili hata wanaousoma mtandao huu ambao sio member waridhike na mada zinazojadiliwa humu.

Au ndo mnalipwa kama swaiba wangu alivyocoment.?
 
Back
Top Bottom