JK atambua umuhimu wa bunge , Jairo stop | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK atambua umuhimu wa bunge , Jairo stop

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rammy, Aug 25, 2011.

 1. r

  rammy New Member

  #1
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jairo asimamishwa kazi na rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania ikiwa ni baada ya siku moja kurejrshwa ofisin na katibu kiongoz mh philemon luhanjo. namshukuru mh rais kwa kutambua umuhimu wa bunge kama muhimili muhimu wenye utaratibu wake na sheria zake za msingi, mh luhanjo alileta ujiran kazin ,jairo na luhanjo ni majiran pale morogoro store oystbay me nadhan walijadiliana wakamua luhanjo achukue nafas ya bunge kumrejesha ofisin bila tamko la bunge tukufu. sasa ntafurah kuona ktb kiongoz aseme maamuz ya kumrudisha jairo aliyatoa wapi, je kwa ris?au ni yeye binafsi,
   
 2. Ungana

  Ungana JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais dhaifu,kwa nini hadi mambo yachache bungeni ndo ajifanye anachukua hatua,hivi ni kusema hana mawasiliano na Katibu Mkuu Kiongozi?Anapenda kuwadhalilisha wasaidizi wake,na hii ndo inafanya serikali yake iyumbe na kulegea!
   
 3. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hii thread ni international? Au macho yangu hayaoni vizuri nilipofungua!
   
Loading...