Wizara ya Nishati na Madini yaibiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara ya Nishati na Madini yaibiwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by koo, Aug 25, 2011.

 1. koo

  koo JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Umetokea wizi wa HARD DISK za kompyuta muhimu ndani ya wizara ya nishati na madini katika kile kinachodhaniwa ni kupoteza kumbukumbu muhimu za ushahidi wa ufisadi wa wizara.

  Kufuatia hatua hiyo inayo sadikika kufanywa na mtandao wa kijasusi unaomilikiwa na mafisadi serikali imeamua kufunga CCTV cameras katika vyumba vyote 189 vya jengo la wizara na vyooni ili kudhibiti watumishi wanaoiba nyaraka kwa lengo la kuvujisha siri za serikali na msako wa aliye toa barua ya Jairo unaendelea kwa kasi huku watumishi wakifurahia kurejea kwa jairo kwa kile kinachosemekana ni mkombozi.

  Chanzo changu kinadai bwana Maswi aliyekua anakaimu ukatibu alipunguza posho za watumishi kwa asilimia 50 jambo lililowaudhi watumishi wengi na urejeshwaji wa Jairo ukapokelewa kama ukombozi wa posho zao zilizo fyekwa

  Chanzo nichakuaminika
  .
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG][JFMP3][/JFMP

  Ukishakuwa na mambo kama haya huhitaji kuiba hardware...wewe unatuma tuu ma trojan horse huku unakamua JF
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mhh ndo nini io?
   
 4. k

  king kong Senior Member

  #4
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aibu ya mwaka
   
 5. Unyanga

  Unyanga JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  hahahaha! Mkuu u hv made my day, bt leo tena huzuni itawarejea baada ya jamaa kurudishwa tena likizo na mkulu
   
 6. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ukisikia jumba bovu kukuangukia ndo hapa.....noma hii kimeshanuka tayari.
   
 7. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haikuibiwa isipokuwa ni usalama wa taifa ndiyo wamefanya vibwanga vyao, ili kupotezea ishu nzima ya JAIRO. Kamati ya Bunge itakayofanya uchunguzi ikose nyaraka na vielelezo muhimu.
   
 8. M

  Maga JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hii ni hatari sana, lakini taratibu wanaanza kuumbuka, lazima kieleweke
   
 9. c

  chiungutwa Member

  #9
  Aug 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 3
  mmmmmmmmmmmmh
   
 10. c

  chiungutwa Member

  #10
  Aug 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 3

  ===source pls...
   
 11. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135


  Mkuu inawezekana kuwa kuweka hizo Camera ni ufisadi mwingine. Pentagon in camera kuliko sehemu yoyote ile, watu wanaiba siri zake. Watu wanahack computer kutoka mile 10,000 bila hata kugunduliwa. Njia nzuri ya kuondoa vitu kama hivyo ni uwazi, kukiwa na uwazi hakuwezi kuwa na siri ya kuiba na kuvujishwa.

  Mbona BOT kuna CCTV camera lakini waliweza kuiba kiulaini tu na sasa wanapeta tu? Kuba hard disk pia ni wizi wa kizamani sana, labda aliyeiba ni mwizi wa kawaida tu mwenye njaa aliyetaka kwenda kuuza, na si kama alitaka kuiba siri.
   
 12. M

  MNONJELA New Member

  #12
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo nayo ni filamu nyingine, bila shaka hili la jairo kuna msururu wa watu kibao nyuma yake.
   
 13. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Natamani ifike mahala Jairo amwage tu mchele! aondoe kabisa dhana ya kutolewa mbuzi wa kafara!
   
 14. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Hii ndio Server Room ya Wizara ya Nishati ? Kama ndio zenyewe This is rubbish na Ngeleja ajiuzulu haraka sana na tunashukuru kwa Giza analotugamia yeye na M k we reeee
   
 15. MWAKIGOBE

  MWAKIGOBE Member

  #15
  Aug 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapa mnatutania haiwezi ikawa seva ya wizara hii. Tuache maigizo, tujadili hoja.
   
 16. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #16
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  \

  Nilikuwa sijui kwa nini wafanyakazi wa wizara hiyo walishangilia vile
  kurudishwa kwa Jah Hero, sasa nimeelewa...
   
Loading...