Kwanini Wasira alisoma bajeti ya Wizara ya maji wakati wizara ina naibu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Wasira alisoma bajeti ya Wizara ya maji wakati wizara ina naibu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by everybody, Aug 25, 2011.

 1. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hiki nimeshindwa kukielewe ndo maana nimeona niliulize kwa wana JF. Ina maana naibu waziri hakuweza kusoma hii bajeti?

  Kazi yake ni nini sasa?

  Huu ndo mzigo kwa serikali maana kunakuwa na naibu waziri na bado mtu wa tatu anaingia kusoma bajeti. Au Wasira ni naibu waziri wa pili wa hii wizara?
   
 2. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #2
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Utaratibu ni kwamba waziri ana nafasi yake na naibu ana nafasi yake vilevile,
  nadhani huo ndo utaratibu wao...
   
 3. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  Hili jibu la kibabaisha kabisa, huwa sipendi wababisha wa namna hii kama hujui jambo ni bora kukaa kimia watu wa namna yako ndio mnaotuletea matatizo kila kukicha hapa Tanzania, kitu ukijui alafu unamwaga upupu wako na kujifanya tayari umelijibu!
   
 4. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Etiquette!
  Sheria inasema bajeti itasomwa na waziri na sio naibu waziri, pia naibu waziri sio mjumbe wa baraza la mawaziri hivyo hawezi kuwasilisha mambo ya wizara yake yenye uhusiano wa kisekta na wizara nyingine. Mbona hukuuliza pale Sita alipokaimishwa uwaziri mkuu wakati katika ofisi ya Pinda kuna mawaziri wa nchi wanaomsaidia?
   
 5. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kweli haukufanya utafiti kabla ya kuuliza swali hili? Nilidhani hili swali lingezuiwa na Mods; inapoteza Muda

  Haujui kuwa Waziri Kamili ndiye anayetakiwa kusoma bajeti za Wizara???

  Pia Haujui Wassira alikuwa Waziri wa Maji kabla ya Uchaguzi wa 2010?

  * Na Topic yangu haikupata nafasi na ilikuwa kuhusu Uchaguzi Igunga, naona hii yako ikapita LOL!!!
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Alisoma ili asilale maana ni champion wa kuuchapa kwa sasa
   
 7. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  naibu waziri ni waziri mdogo, kazi yake nikujibu maswal bungeni (ya majibu yaliyoandaliwa)
   
 8. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama hii ni sahihi... I think Naibu waziri anachukua majukumu yote ya wizara husika pale ambapo Waziri anapokosekana. Kwa style hii hakuna umuhimu basi wa kuwa na manaibu waziri kwenye wizara kama hawezi kutake full responsibility pale waziri muhusika anapokosekana. Hapo kwenye bold, mtu anapouliza swali inamaana anatafuta ufafanuzi sasa sijui nilichokosea hapo ni nini?
   
 9. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mbona Bishop hakukosea kujibu, Ingawa Crucifix amekuja kulifafanua vizuri. Umetumia maneno makali sana.
   
Loading...