Leopard Mahona - Mgombea wa CUF mwenye ushawishi atakayeibuka kidedea jimbo la Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leopard Mahona - Mgombea wa CUF mwenye ushawishi atakayeibuka kidedea jimbo la Igunga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mtutuma, Aug 24, 2011.

 1. m

  mtutuma Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  leopard mahona - mgombea wa cuf mwenye ushawishi atakayeibuka kidedea jimbo la igunga; umri; miaka 29. elimu; stashada ya biashara na uongozi. uzoefu wa kazi; mratibu wa shirika la world vision – igunga kwa miaka 2. kazi ya sasa; mratibu wa shirika moja la kidini(halikupatikana) – dar es salaam. asili yake na taarifa za wazazi; 1. mzaliwa wa igunga na amesoma na kukulia igunga.2. wazazi wote ni walimu wa shule za msingi tarafa ya nsimbo – igunga. wasifu wa kisiasa; 1. mgombea pekee wa upinzani jimbo la igunga mwaka 2010 aliyefanikiwa kushinda vishawishi vya pesa na kukataa kuondoa jina lake na kumwachia rostam kama walivyofanya wenzake 12.2. alipata zaidi ya kura 11,000 katika uchaguzi huo lakini alishindwa kutokana na uwezo mdogo wa kifedha aliokuwa nao. kukubalika; anakubalika sana na watu wa rika zote katika jimbo la igunga. uwezo; anajiamini sana na uwezo mkubwa wa kujenga hoja thabiti. Ana uwezo wa kusimamia maamuzi yake na ya majukumu aliyotumwa.kwa nini atashinda; 1. ndiye mgombea pekee kijana, katika siasa za sasa za upinzani kijana anauzika mapema kuliko wazee.2. washindani wake kutoka ccm na chadema ni wazee na wataenda kulala bungeni jambo ambalo limewachosha wananchi kwa sasa.3. watu wa igunga wanahitaji mwakilishi watakayemtuma huku na kule na asichoke, washindani wake hawawezi mbio hizo kutokana na umri.4. alifanya kampeni jimbo zima mwaka jana 2010.5. anafahamika kwa wananchi kuliko wagombea wenzake.6. cuf imejipanga vizuri kumnadi na kuhakikisha anashinda jimbo la igunga.7. cuf ina nguvu kubwa igunga kuliko chadema na ccm9 ccm ina mtandao dhaifu kwani rostam alijijenga yeye kama yeye).naomba kuwasilisha.
   

  Attached Files:

 2. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Au ndo wewe mwenyewe nn?? Kwa hiyo kama akishinda wazee wa igunga imekula kwao! Manake ulivyoandika ...naona umetumwa
   
 3. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Hata kazi yake huijui.
   
 4. p

  propagandist Member

  #4
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa anakubalika sana igunga 2010 alifanya kampeni kwa baiskeli na wanainchi walimuunga mkono, inahitajika support ya cuf waweze kulitwaa jimbo.
   
 5. THE PERFECT

  THE PERFECT Member

  #5
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwenye Red PL hukusoma? primes zinatofautiana na conclusion pole sana jipange uje upya bila kutumia masaburi yako kuwaza na kuandika..
  CCM-B a.k.a. magamba B hamna lolote.
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  mgombea atakayeshinda ni yule atakayepata kura nyingi kuwashinda wagombea wenzake. ukijana, oh kampeni mwaka jana, ooh anajiamini sana, ooh anaweza kusimamia maamuzi yake, mbwembe tu hizo, wapiga kura wana chaguo lao mioyoni mwao. wahenga walisema, ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno!!!!
   
 7. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  CUF au CCM B, tuondolee upumbavu hapa, ushawishi kanywe naye chai
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Me nasubiria kutangazwa kwa matokeo tu,so far kwa sifa zake ni nzuri
   
 9. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Swala la kuwa kijana siyo hoja' hebu ona wabunge vijana wa ccm hovyo kabisa'(Job Lusinde,Mwigulu,Zainabu Kawawa,n.k) wanaoandaa vijana ni Chadema tu hata ukali wa akina Kafulila waliupata wakiwa Chadema.Swala la kushinda kisa aligombea 2010 halipo! Kama ni hvyo Lipumba angekuwa rais wa nchi hii amegombea tangu 1995 ,wanaigunga kama wataamua kuchagua Upinzani chadema ndio chama peke cha upinzani kwa sasa hata wao wanajua.
   
 10. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Umesomeka. Ingawa inashangaza kwamba unamfanyia kampeni mtu usiyefahamu anafanya kazi gani kwa sasa. Kama ndivyo hata huu wasifu wake tutautilia mashaka kama ni wa kweli kiasi gani.

  Wakuu ndio kampeni zenyewe hizo wala msimshangae huyu mdau kuleta hii habari. Chama kitakachojipanga vizuri kuanzia mwanzo hadi mwisho ndicho kitaibuka mshindi.
   
 11. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Swala la kulala halina uzee kuna wazee kibao bongeni wa upinzani walikuwa hawalali mfano Dk Slaa na Ndesamburo kulala ni kwa wale walioridhika na siasa uchawara i.e waze wa Magamba
   
 12. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kinachopiganiwa ni posho mjengoni, Baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasi!
   
 13. M

  Major JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2011
  Joined: Dec 20, 2007
  Messages: 1,425
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  Angeweza akashinda, ila kwa tiketi ya CUF sahau, hawa ni mamluki wa ccm, na hapo kusema kweli ndipo CUF walipojichanganya
   
 14. m

  mzee wa mawe Senior Member

  #14
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mahona ni mgombea mzuri na wana mpenda wakazi wa igunga nimetoka tu majuzi igunga nimewasikia wakazi wa igunga wakimsifu huyu kijana.
   
 15. m

  mtutuma Member

  #15
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtatuchukia CUF bure lakini tunajipanga sana na kwa hakika mtaona what is going to happen, hapa siyo busanda, tumejipanga vya kutosha na mgombea wetu anauzika, leteni wagombea wenu kutoka CCM 'A' na CCM 'C' muone what is going to happen. Mahona is going to make it!
   
 16. makwimoge

  makwimoge JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Acha unafiki wa ki CCM B Umewasikia au wewe mwenyewe ndio unatuambia haya
   
 17. j

  janja pwani Senior Member

  #17
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cdm wana kisokolokwinyo na cuf, cuf ndio imetoka hivyo breki hadi ikulu, kama maandamano cuf wameishafanya na hayana tija , nyie bakieni na siasa za maji taka.
   
 18. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Kwani ameshachukua fomu na kutangazwa na msimamzi wa uchaguzi wa jimbo hilo kuwa ni mgombea halali wa CUF.

  Kuna mchakato hapo kuweni na subra mapaka atakapotangazwa na msimamizi wa uchaguzi kuwa ni mgombea wa ubunge kupitia chama fulani
   
 19. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Yetu macho tunasubiri tu
   
 20. w

  woyowoyo Senior Member

  #20
  Aug 24, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtanange huko utakuwa mkali kati ya cuf na cdm hawa ndio watakaokuwa na siasa za kukandiana, tutegemee vilema, watu watatekwa na kuolewa, magari kuvunjwa vioo, dalili zote zipo wazi.
   
Loading...