After watching this video below i scrolled down to check out the comments that people had , OMG after such wonderfull skills people could still not appreciate Africa, even our talent.
What is...
Waziri Mkuu Mstaafu, Bw. Joseph Sinde Warioba akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam jana baada ya kutembelea maonesho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika katika viwanja...
nimekuwa nikiwaza siku ccm itaondolewa madarakani na watanzania itakuwaje hasa!!!!!!
kwa kweli mimi binafsi nimechoka mno na safari ndefu ya kusafiri ni hili chama la majizi ccm
nilikuwa...
Wanajamvi wenzangu, nimekuwa nikijiuliza sababu na chanzo cha haya yote yanayotokea leo kuhusiana na Dowans, ambayo ni zao la Richmond, na nikajiuliza maswali kadhaa hususani ni ipi nafasi ya...
Hivi majuzi aliyekuwa makamu wa rais wa Uganda Prof Gilbert Bukenya alifutiwa dhamana yake nakuswekwa rumande katika gereza kuu la Luzira.
Baada yakujivua nyazifa zao jana leo hii mwanasheria...
MAHAKAMA kuu ya kanda ya Mwanza itaanza kusikiliza shauri la kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita katika jimbo la Ilemela ambayo yalimpa ushindi mbunge Highness Samson (Chadema) dhidi ya...
Aliyekuwa diwani wa kata ya kaloleni kupitia CHADEMA inasemekana anatafutwa na Polisi kwa tuhumu za kumtapeli mwekezaji mwenza kwenye biashara yao ya utalii. Charles David Mpanda (Rasta) anadaiwa...
Tanganyika, Republic of Tanganyika (from 1962)
Commonwealth realm, Republic (from 1962)
←
19611964
→
Flag of the Republic of Tanganyika...
Mahakama kuu imefikia uamuzi huo baada ya kikao chake kilichofanyika huko Kilwa Kusini; hivyo kufanya Mbunge kupitia tiketi ya CUF kuendelea na wadhifa wake huo; huku aliyekuwa mgombea wa CCM...
Wanabodi, kwa wanaoishi ama kuelekea maeneo ya kigamboni mtakubaliana nami ktk hoja yangu hii.
Awali ile kona ya Ocean Rd Hospitali kuliwekwa bango (la majaribio) kuzuia magari kupita nyuma ya...
CCM kupitia msemaji wake ambaye anakaribia kupoteza umaarufu wa jina la baba yake Nape Nauye akiongea na TBC1 amesema CCM hawatambui uamuzi wa mahakama kuu kwa kubariki na kuridhia Tanesco...
eti atamwaga nyeti za Ufisadi wa uchunguzi uliofanywa na CAG dhidi ya Shirika Hodhi la Mashirika ya Umma (CHC) ambao anasema Waziri Mkullo anampango wa kuchakuchua matokeo
Kwa mawazo yangu kama mzalendo na mtu anayeliangalia taifa letu linavyozidi kudidimia naamini kuwa huu ndo mtaji wa CCM kuendelea kuhodhi madaraka kwa namna yoyote ile.
kuwa na watanzania...
Nimepitia sera za vyama vitatu vikuu hapa nchini, CUF, CDM and CCM sikuona hata chama kimoja kinachotaka kuwa na serikali moja...ya JMT
CUF-wao walianza tangu awali kwamba wakiingia madaraka...
Tanzania: Yes, to block grants - if
Zitto Kabwe, one of the leading oppositions politicians in Tanzania says yes to a more free development support from Denmark.
But on the condition that...
Kama mwakajana chadema haikusimamisha mgombea, ina maana ilipata kura sifuri kule Igunga. Kwa maneno mengine CCM wailiikubali zaidi ndio maana ikapata takribani kura 34 elfu. Kipindi hiki cha...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein amemteua Kanal Mstaafu Miraji Mussa Vuai kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Idara Maalum Zanzibar.
Kwa mujibu wa taarifa...