Hii ndio TANGANYIKA (1961-1964) according to WIKIPEDIA......

kalou

JF-Expert Member
Aug 22, 2009
4,972
3,793
Tanganyika, Republic of Tanganyika (from 1962)
Commonwealth realm, Republic (from 1962)
←
1961–1964 →

Flag of the Republic of Tanganyika
Anthem
Mungu ibariki Afrika
CapitalDar es Salaam
Language(s)Swahili
English
GovernmentConstitutional Monarchy (1961-1962) Republic (1962-1964)
President
- 1961-1962Elizabeth II
- 1962-1964Julius Nyerere
Governor
- 1961-1962Richard Gordon Turnbull
History
- Independence9 December 1961
- Unification with Zanzibar26 April 1964
CurrencyEast African Shilling


Tanganyika later formally the Republic of Tanganyika, was a sovereign state in East Africa from 1961 to 1964. It was situated between the Indian Ocean and the African Great Lakes of Lake Victoria, Lake Malawi and Lake Tanganyika. It gained independence from the United Kingdom as a Commonwealth Realm on 9 December 1961, becoming a republic within the Commonwealth of Nations exactly a year later on 9 December 1962. On 26 April 1964, Tanganyika joined with the islands of Zanzibar to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar, a new state that changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

Tanganyika originally consisted of the British share of the former German colony of German East Africa which the British took under a League of Nations Mandate in 1922; later transformed into a United Nations Trust Territory after the Second World War. The other parts of German East Africa were taken into Belgian Trusteeship, eventually becoming known as modern day Rwanda and Burundi.

My Take: Hii ndio Tanganyika iliyozaliwa 1961 na kufa 1964... Tarehe 9-Dec tunasheherekea au tunaomboleza ?Hivi watu huwa wanafanya sherehe za Birthday kwa ndugu zao waliokufa?
 

Daffi Jr

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
3,830
905
Nchi yangu ni Tanganyika na si Tanzania!i am proud of being Tanganyikan but not Tanyania.
 

kalou

JF-Expert Member
Aug 22, 2009
4,972
3,793
Naitaka Tanganyika kama Wanzanzibar wanaivyoitaka Zanzibar...
 

kalou

JF-Expert Member
Aug 22, 2009
4,972
3,793
Utambulisho wangu ndio chanzo cha madai yangu.......
 

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
243
Binafsi nimekuwa nikiongea hapa kuhusu uwepo wa Tanganyika, kwanza nawasifu wazenj kwa uwepo wa nchi yao hadi leo, nawasifu kwani wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuipigania. Walianza kidogo kidogo wakaanzisha majeshi yao KMKM na JKU, warudisha wimbo wa taifa lao, wakarudisha bendera ya taifa lao na wakaongozana kuja bara kuuliza zenj ni nchi au sio nchi? Badae wakaanza kutushangaa sisi tumekaa kimya hatudai Tanganyika yetu, sasa wanauliza kama Tanganyika hayupo wao wameungana na nani? maana wao wana exist lakin mshirika wao ha- exist why? wanatusaidia nasi tudai yetu ili tuwe sana. siku zote nimekuwa nikimlilia Tanganyika najua kuna siku atarudi na nina matumaini makubwa kuwa akirudi itakuwa ni mageuzi makubwa sana.
Sijivunii kuwa Mtanzania kabisa bali navumilia tu ila ntajivuna kuwa Mtanganyika
 

Kimilidzo

JF-Expert Member
Jan 3, 2011
1,346
594
Hawa mabazazi wa magamba wamepora hadi uhuru wa kusherehekea birthday ya Tanganyika. Wanasema miaka 50 ya Tanzania bara wakati miaka 50 iliyopita hakukuwa na kitu kinaitwa Tz bara. Ukiwa na rais kilaza anakuwa hadi na fikra za ukilaza kiasi cha kusahau hadi historia. If you dont know your history M.kwere you dont know your destiny.
 

Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,174
931
Tuwashukuru CUF na Wazanzibari kuwapa walau ufahamu wa tanganyika...kumbe kulikuwa na tanganyika?

Msingeweza kuuliza hili kama st. nyerere angekuwepo..abadani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom