HUU NDO MTAJI MKUU WA CCM na MAFISADI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HUU NDO MTAJI MKUU WA CCM na MAFISADI

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Paul Kijoka, Oct 13, 2011.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwa mawazo yangu kama mzalendo na mtu anayeliangalia taifa letu linavyozidi kudidimia naamini kuwa huu ndo mtaji wa CCM kuendelea kuhodhi madaraka kwa namna yoyote ile.

  1. kuwa na watanzania weliowengi mbumbu ambao ndo mtaji wa mafisadi
  2. kuwa na wasomi walio na uozo wa kuibia masikini na kujilimbikizia mali na kuacha watu masikini wakifa njaa, kwa ufukara, wakifanyiwa operation hospital bila ganzi.......!
  3. uwepo wa walaghai ndani ya CCM hasa wale wanaojiita wapiganaji kumbe ni WALAGHAAJI na wazamisha meli ya watanzania
  4. ukosekanaji wa uzalendo na uwepo wa umimi miongoni mwa watanzania
  5. dola kukandamiza wanachi hasa wale wasiojua sheria na haki zao
  6. CCM kuubiri udini na kugawanya wa TZ baadala ya kupambana na mafisadi kwamfano waislam waliowengi sasa wanapambana na CDM.
  7. NJAA na umasikini uliokubuu ambao unawafanya watanzania kutawaliwa KIUCHUMI na si KISIASA
   
 2. R

  Rangi 2 Senior Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
   
 3. sodeely

  sodeely Senior Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Huo ni ukweli mtupu...
   
 4. k

  kamakak Member

  #4
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jingine ni hili la viongozi wa CHADEMA kushilikiana na mafisadi.Ushaidi ni maongezi ya simu kati ya BASHE na LEMA mpaka yakaleta muafaka wa kuacha siasa za fujo igunga.Inakuwaje kamanda Lema aongee kwa Simu na Bashe wakati kila mtu anajua kama ni kijana wa Rostam.Kweli siasa si hasa ni unafiki mtupu
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  stress tupu siasa za bongo..
   
 6. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hapo sawa kabisa ila sasa dr wa ukweli ameanza kutoa elima nchi nzima kitaeleweaka
   
 7. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  _______________________________________
   
 8. T

  Topical JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nafikiri tuanzie kwenye vyama vya upinzania.."tuondoe garbage huko" ndio tuanze kupambana na CCM

  Garbage no. 1: mafisadi walioko chadema ni wengi kuliko unavyofahamu

  Garbage no. 2: Ubaguzi na upendeleo wa wazi ulioko huko ni wazi na hakuna anayetaka kuuliza

  Huo ndio mtaji wa ccm..
   
 9. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  CCM haina cha mtaji wala nini, ni sawa na mtu anayetapatapa kufa maji!
  1. Mtanzania wa sasa si mbumbumbu (na namba zinaongezeka kila kukicha).
  2. Msomi hasa aliyebobea katika fani yake hakimbilii siasa (tunamsubiri Dr. Ben Bana aje kwetu).
  3. Wapambanaji wa ufisadi feki tunawajua wakiongzwa na S. Six
  4. Uzalendo umeamshwa na CDM
  5. Vyombo vya dola vinasubiri tufany kweli halafu ndo serikali ione km inaungwa mkono.
  6. Kuna Bakwata na Bakwacha. Watanzania tushalijua hili.
  7. Njaa? Naona kama hii inafanna na hiyo ya kwanza hapo juu.
   
 10. B

  BMT JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  point ya 7 imesimama tena kiume,hapa ndo shida ilipo kwa watanzania,goooooood for this point mkuuuuu
   
Loading...