Chadema umeshinda igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema umeshinda igunga

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Malova, Oct 13, 2011.

 1. M

  Malova JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kama mwakajana chadema haikusimamisha mgombea, ina maana ilipata kura sifuri kule Igunga. Kwa maneno mengine CCM wailiikubali zaidi ndio maana ikapata takribani kura 34 elfu. Kipindi hiki cha mwaka 1, chadema imepata hizo zaidi ya 22 elfu na ccm wamepata zaidi ya 24 elfu. Maana yake ccm imeanguka kwa kura zaidi ya 9 elfu wakati chadema wamepanda kwa kura zaidi ya 22 elfu wakitoka 0 za mwaka jana. Hivi chadema wanakubalika zaidi na ingekuwa katiba za nchi za wenzetu ndio chadema ambao wangechukua jimbo kwa mlinganyo wa kura.
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Nitafutia nyumba ya kununua huko kwenu Kimara Bonyokwa!
   
 3. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35


  Nadhani ungesikiliza kauli ya Jaji Joseph Sinde Warioba jana usinge post huu upupu leo hapa.Fanya kazi ama leta habari nyingine ya msingi "the Igunga Chapter is Closed".
   
Loading...