eti atamwaga nyeti za Ufisadi wa uchunguzi uliofanywa na CAG dhidi ya Shirika Hodhi la Mashirika ya Umma (CHC) ambao anasema Waziri Mkullo anampango wa kuchakuchua matokeo
eti atamwaga nyeti za Ufisadi wa uchunguzi uliofanywa na CAG dhidi ya Shirika Hodhi la Mashirika ya Umma (CHC) ambao anasema Waziri Mkullo anampango wa kuchakuchua matokeo
Sure! lakini naona kuna chain about this! Mkulo yuko front.Mh Zitto namwamini kwa hoja nzito zenye nguvu. Mtu akitaka kukinga hoja zake anapaswa awe na misuli hasa ya kihoja la sivyo anaenda na hicho kimbunga cha Zitto.
Masikio yetu na macho yetu kwa sasa tumeyaelekeza kwa Zitto kusikia yaliyojiri ndani ya CHC.
Zitto changanya na za kwako (kama mbayuwayu), Si wote wanaokushauri humu JF wanakutakia mema. Take it very carefully.Mh Zitto namwamini kwa hoja nzito zenye nguvu. Mtu akitaka kukinga hoja zake anapaswa awe na misuli hasa ya kihoja la sivyo anaenda na hicho kimbunga cha Zitto.
Masikio yetu na macho yetu kwa sasa tumeyaelekeza kwa Zitto kusikia yaliyojiri ndani ya CHC.