Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wandugu Mkakati wa kuidhibi Irani wa Marekani na washirika wake hauna tofauti na kumfungia Paka ndani kisha uanze kumuangushia kichapo. nadhani maamuzi atakayochukua yanajurikana. Hiki ndio hasa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nafikiria kwa makin na kukumbuka jinsi serikali ya ccm ilivokuwa na fikira mbovu miaka ya nyuma hasa ukizingatia kuwa iliwaona wananchi kama ni watu wasioelewa na waliokuwa hawana mtazamo mbele...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam kwenu wanaJF Wote popote mlipo.Nape anaotesha mbegu ya dharau dhidi ya BABA WA KAMBO.Si mara ya kwanza anaongea maneno haya.Aliwahi kusema CHADEMA imewashikisha ukuta watu wa Mwanza,kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa gazeti la Dira, toleo la leo kama kweli tunaitakia mema nchi yetu basi tumuunge mkono Lowassa, achukue uenyekiti wa chama taifa na JK abaki na urais wake.
2 Reactions
78 Replies
6K Views
EMAIL PRINT SHARE BY AL-AMANI MUTARUBUKWA, 28 JANUARY 2012 The Tanzanian government plans is ready to build a pipeline to carry natural gas to Dar es Salaam. (Photo Courtesy Flickr/heipmann)...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
07 FEBRUARY 2012 *Madaktari bingwa nao wagoma, huduma zasimama *JWTZ wakosa ushirikiano, wauguzi wabaki wapweke *Wagonjwa: Nasi tutaandamana tukafie wizarani getini Grace Ndossa na Goodluck...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
07 FEBRUARY 2012 Na Suleiman Abeid, Shinyanga CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaagiza Maofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), kuwakamata wana CCM wanaojihusisha na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JK, Kama unapita pita hapa jamvini nakushauri hivi: 1... Tangaza HALI YA HATARI haraka sana iwezekanavyo, MAFISADI PAPA wanakaribia kukumaliza!!!! Kuna mengi yaja na usipokuwa makini utakuwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
GreatThinkers, Wakazi wa mabondeni inafahamika wazi kuwa ni wavamizi wa yale mabonde licha ya kuwa baadhi walipewa hadi hati ya umiliki kwa njia isiyo rasmi. Jk ametenga eneo la Mabwepande ili...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
@ kumekuwa na sintofahamu kwa wananchi,viongozi wa dini,juu ya nani mwenye kustahili lawama juu ya hali hii je ! Nani anayepaswa kulaumiwa serikali au madaktari ?????????????
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu; Nipo mwanza na habari ni kuwa ccm wamewatelekeza watu wengi sana bila ya kuwapatia usafiri wa kurudi makwao. Hii ni baada ya kuwasomba jana kuwaleta kwenye maadhimisho ya miaka 35 ya...
4 Reactions
109 Replies
9K Views
Wanajamvi: Wiki hii katika gazeti la The East African, jenerali Ulimwengu kamtaja JK kama ni 'bingwa wa kupasia mpira', kila anapopigiwa pasi -- akimaananisha hili sakata la posho za wabunge...
10 Reactions
36 Replies
5K Views
Hivi karibuni mbunge wa Nzega (CCM), Dkt. Hamisi Kigwangalla amekuwa kwenye kurasa za mbele za magazeti mbalimbali na mitandao ya kijamii kuhusiana na misimamo yake madhubuti isiyoyumba...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kufuatia tafiti iliyofanywa na gazeti lisilo fungamana na upande wowote la East African 06/02/2012 kuhusu ubora wa marais wa Africa,Kikwete ameambulia grade C.Utafiti huo ulizingatia vigezo...
5 Reactions
58 Replies
5K Views
Ni kiongozi asiyependeka na wanazi wengi wa CDM na amekuwa akiitwa ''pono'' ama ''mnyama wa gombe''.Mimi sipendi kumuita hivyo ila ninachojua ni Waziri aliyeshikiria mapigo ya moyo ya Kikwete...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Serikali makini na maamuzi makini, Ni msimamizi wa shughuli za serikali na waziri mkuu wa Tanzania, Mtu mkubwa kabisa kabisa, Alisema ma DR wasiporejea job ilikuwa ni siku ya jumatatu tar 16 woote...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
:A S 465: 0digg Na Mwandishi Wetu, Zanzibar VYAMA vya siasa vitatu, Chama cha Demokrasia na Mandeleo (Chadema), Chama cha Wananchi (CUF) na Chama Cha Mapinduzi (CCM) vinachuana vilivyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna taarifa kuwa kufuatia fedha nyingi zilizotengwa katika bajeti ya mwaka 2011/12 kutumika kwa shughuli za maazimisho ya miaka 50 ya Uhuru ambazo hazikuwa na tija, Serikali kupitia Hazina...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
madaktari wote waliogoma sisi kama wananchi tunawaunga mkono asilimia miamoja kwa ajili madai yao yote ni ya msingi ila serikali inaona kuwa hawana mcna kwa sasa kwa ajili ata wao wakiumwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Raymond Kaminyoge CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na NCCR-Mageuzi vimetangaza kurejesha upya ushirikiano wa karibu yanayohusu masuala mbalimbali yenye maslahi kwa wananchi.Katika...
0 Reactions
2 Replies
984 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…