CHADEMA:"Baba wa kambo Mwanza" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA:"Baba wa kambo Mwanza"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by J.K.Rayhope, Feb 5, 2012.

 1. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Salaam kwenu wanaJF Wote popote mlipo.Nape anaotesha mbegu ya dharau dhidi ya BABA WA KAMBO.Si mara ya kwanza anaongea maneno haya.Aliwahi kusema CHADEMA imewashikisha ukuta watu wa Mwanza,kwa tafsiri ametukana mpaka kule kwa NGELEJA,MAWE MATATU,WASIRA n.k hivi Nape hapati watu wa kumshauri namna ya kuadress hasira zake?Kwani BABA WA KAMBO hafai?
   
 2. p

  pomoni Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  mchemsho huo, ni mtizamo finyu.
   
 3. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Tusimlaumu sana Nape huenda anaongea kutokana na experience ya kulelewa na baba wa kambo. Unajua waswahili husema 'Asemaye kamasi ina chumvi kailamba'

   
 4. b

  busar JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Ye mtoto wa ndoa? Au wa nyumba ndogo?
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hizi siasa za kejeli ndio zimewafikisha ccm ICU lakini Nape haonekani kujifunza chochote. Unless kama anataka kuizamisha ccm kisirisiri.

  Mambo ya baba wa kambo, wanawake kuolewa na chama cha siasa yako ccm. Sasa huyu dogo anapata wapi ujasiri wa kuhubiri hayo anayohubiri.
   
 6. m

  msukwaa Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nape inasemekana sio mtoto wa mzee nnauye ndio maana hakutajwa ktk majina ya watoto ktk kumbukumbu ya kifo cha nnauye
   
 7. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Their dayz are numbered.
   
 8. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Nchi inaongozwa na watoto haramu hii! Miccm kuongea mitusi ni kitu cha kawaida tu kwao. Hukumbuki tuliambiwa tutakula hata nyasi ilmradi tu usafiri wa prezidaa ununuliwe! Kama mtu umezaliwa sehemu ambayo mila,na tamaduni za maana zinafuatwa huwezi kuwaambia wanaume wenzako na wake zao wameshikishwa ukuta yaani wam........................wa!
   
 9. n

  nyandaojiloleli JF-Expert Member

  #9
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nape hana jipya siku hizi anaropoka hana maana
   
 10. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #10
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Sikujuwa kwamba kuwa baba wa kambo ama mtoto wa kambo ni matusi.
   
 11. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #11
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,643
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Geita wameolewa na mume wao CCM anawapa kila kitu.
   
 12. f

  faloyce2001 Member

  #12
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baba Mzazi wa Nape ni Prof. Mwan...sya. Hebu waangalieni vizuri sura zao. Sisi watu wazima banaa! Tunaelewa. Mzee Nnauye alibambikiwa mzigo.
   
 13. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Chama cha kihuni,viongozi wake wahuni,wamekuwa wakitufanyioa uhuni chinichini sasa wameona ni kawaida hadi wameanza kututukana hadharani
   
Loading...