Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika hali isiyo ya kawaida diwani wa kata ya olasiti Ismaili Katambui jijini Arusha, amekataa katakata msaada wa viti na meza uliotolewa na mdau wa elimu Alex Martin kwa ajili ya wanafunzi wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
http://www.google.co.uk/url?sa=t&rct=j&q=maize%20rejected&source=web&cd=2&ved=0CCYQFjAB&url=http%3A%2F%2Fwww.namibian.com.na%2Fnews%2Ffull-story%2Farchive%2F2012%2Fmarch%2Farticle%2Fsoutputz-reside...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu mitandao ya kijamii imekuwa ikitumika kumchafua Rais JAKAYA KIKWETE kwa mambo ambayo hayahusiani kabisa na majukumu yake ya kuongoza serikali. Yapo mambo mengi ambayo watu kupitia...
6 Reactions
252 Replies
17K Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa Mulongo amejitwisha zigo la kumkampenia mgombea wa CCM Sioyi Sumari lakini watu wanajiuliza mkuu huyo wa mkoa ndiye alikuwa wa kwanza kumkataa siyo raia sambamba na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Heshima mbele wanajamvi. Leo ni jumanne na tumebakiwa na kama siku nne kuelekea katika tukio la muhimu sana katika historia ya demokrasia ya nchi hii masikini ya Tz. Wanye jukumu kubwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
A pool game in a rural village. Just look at that. That is what resourcefulness is all about. Amazing, __._,_.___
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge jimbo la Arumeru Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ( CCM ) Sioi Sumari ulitawaliwa na maneno ya matusi na vijembe...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari za uhakika,CCM iko kugawa rushwa kwa akina Mama wa CCM kutoka vijiji mbalimbali vya Arumeru.Taarifa tumesha ipeleka polisi wafuatikie... Nawasilisha...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
tume ijitahidi kufanya kazi kwa umakini sana ili ushindi wa kidemokrasia upatikane
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali ya leo vinasema "Zitto, Makamba wamkalia kooni Ngeleja" kimsingi wabunge hao wanataka Waziri huyo wa Nishati na Madini ajiuzulu kwa kile wanachosema...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Na Stephano Mango, Songea WATANZANI wametakiwa kuidai Serikali huduma bora ya afya kutokana na maradhi yanayowasumbua katika jamii ili wananchi wawe na afya bora katika kutimiza wajibu wao wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nililiona hili wakati wa kampeni ya Igunga ambapo Rostam Aziz mmojawapo wa wanasiasa na wafanyabiashara wanaotajwa katika madai ya ufisadi alipoachia jimbo. Rostam aligongana na wana CCM kadha wa...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Sitta: Katiba Inaniruhusu Kugombea Urais 2015 Mh Samuel Sitta alikuwa mgeni rasmi leo kwenye bonanza la wanahabari Waziri wa Africa Mashariki, Samuel Sitta, amesema yupo huru kugombea...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakati Mgombea Sioi Sumari akinadi sera zilizojaa matusi na kejeli wa CDM mida ya saa 12 Kasoro,Ilipita Helcopter ya CDM ikielekea Maji ya Chai Kumchukua Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CDM Josh...
7 Reactions
42 Replies
5K Views
Mbowe amewapokea wanachama wapya zaidi ya 85 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwemo Wenyeviti wa Kitongoji cha Mulala na Katibu wa Vijana tawi la CCM Mulala. SOURCE : NIPASHE YA LEO
1 Reactions
8 Replies
2K Views
CCM wanachekesha kweli, wanatoa ahadi lakini baada ya kura hawaonekani. Dr Magufuli aliahidi Igunga kuwa ndani ya siku 90 daraja litajengwa na akapiga simu kwa makandarasi. leo karibia mwaka...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Sasa huyu msomali na upeo wake woote anashindwa tofautisha ubunge wake wa magamba na uenyekiti wa simba! Anaongea radio one,eti "ntawanunulia wachezaji wote wa simba suti kama Zawadi ya...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
Akihutubia katika kijiji cha njori kata ya Poli alimfananisha mzee wasira na sokwe mtu that is wrong in my opinion ? pia kuhusu swala la kuoa aliwataka CCM kwanza wakamuulize Spika wa Bunge(64)...
4 Reactions
123 Replies
24K Views
TABIA ZA WANASIASA WA KIAFRIKA VS MATAIFA MENGINE Hivi ndivyo Viongozi wa Mataifa wengine wanavyowaona Viongozi wa Mataifa ya Africa.Naomba kushirikiana na WanaJF kupata tathmini Je Viongozi wetu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…