Helcopter ya CDM yachafua hali ya hewa Mkutano wa CCM Ngaresero Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Helcopter ya CDM yachafua hali ya hewa Mkutano wa CCM Ngaresero Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by yplus, Mar 26, 2012.

 1. y

  yplus Senior Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati Mgombea Sioi Sumari akinadi sera zilizojaa matusi na kejeli wa CDM mida ya saa 12 Kasoro,Ilipita Helcopter ya CDM ikielekea Maji ya Chai Kumchukua Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CDM Josh Nassari,Umati iliokuwa hapo uwanjani ulishangilia kwa nguvu huku wakionyesha ishara ya V,hali hiyo ilimfanya Sioi Sumari kutatisha sera na kujikuta akifunga Mkutano kabla hata ya Muda.Waliokuwepo eneo la tukio watakuwa na mengi ya kuongelea juu ya hili maana lilizua zogo kubwa...
   
 2. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Wasije kuitungua ha haaa!
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kuna vijana wamebuni mbinu ya kula hela za ccm.wanachukua elfu ishirini ili kuhudhuria mkutano wa ccm halafu muda wa kuondoka ni kuzomea gari la komba huku wakionyesha alama ya v.
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  CDM mna bahati CCM wamechacha zingekuja helcopter 2 apo
   
 5. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Kwani naye Komba yuko huko sasa atakuwa anaimba huku kasinzia au mbele yake wanawekwa warembo ili angalau aweze kupepesa macho
   
 6. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizi mbwembe mwisho wake tarehe 1 april.
  Mtaanza kulalamika mmeibiwa kura
   
 7. ZigiZaga

  ZigiZaga JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 784
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 180
  magamba ni magamba tu,apr 1 nikipigo tu.
   
 8. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  uchakachuaji kura hufanyikaga
   
 9. ZigiZaga

  ZigiZaga JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 784
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 180
  Hali ngumu kwa magamba kata ya chan"gombe dodoma
   
 10. only83

  only83 JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180

  Wataitungua na ile inayoitwa polinium sijui(Mwakyembe's poison)
   
 11. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Taarifa nilizonazo mgombea wa chadema hanaushawishi na mikutano yake hainaushawishi au aliyenipa taarifa amenidanganya?
   
 12. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Haaa haaaa hawakawii.
   
 13. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  peopleeeeeeees powwwwwwwwwwwerrrrrrr
   
 14. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu ni kweli helcopter ilipitia wakati huo lakini ilikuwa inakwenda kupaki.mbowe na Nassari waliondoka kwa gari.
   
 15. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Jack ukitaka kujua hilo angalia katika mikutano ya ccm jinsi audiance ambavyo hairespond kwa mgombea.kitu ambacho kwa cdm response ya audiance mia!
   
 16. m

  macinkus JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  ni polonium 210
   
 17. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hicho ni kiberenge tu train lenyewe ndio linakuja.
   
 18. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,268
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  Saa hii sijui wataenda Kwa Malima kumuazima ile silahaa aloporwa kule Morogoro watungue nayo Helikopta
   
 19. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,078
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  Tunakula ccm tunalala Chadema hiyo ndo fomula ya arumeru east kama ulikuwa haujui.
   
 20. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sawa MaraliaSugu.
   
Loading...