Wana Arumeru …jukumu ni lenu kuelekea 1st April (Jumapili) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana Arumeru …jukumu ni lenu kuelekea 1st April (Jumapili)

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by omujubi, Mar 27, 2012.

 1. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  [FONT=&quot]Heshima mbele wanajamvi.[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Leo ni jumanne na tumebakiwa na kama siku nne kuelekea katika tukio la muhimu sana katika historia ya demokrasia ya nchi hii masikini ya Tz.[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Wanye jukumu kubwa kabisa katika ushiriki wa tukio hilo la kihistoria sio sisi tulioko huku mbali bali wana Arumeru Mashariki![/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Maneno mengi hayasaidii bali nawaomba watakaoweza kuona hizi attachments watumie muda kuzitafakari kwa umakini wote then waamue accordingly.Kikubwa zaidi ni msemo ule ule "changanya na zako"! (Moja ni kwa hisani ya Masoud Kipanya na nyingine ni dada wa Senegal hapo juzi baada ya kupiga kura)[/FONT][FONT=&quot][/FONT]

  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Yangu ni hayo, nawasilisha[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
   

  Attached Files:

  • kp.jpg
   kp.jpg
   File size:
   182.6 KB
   Views:
   88
  • voter.jpg
   voter.jpg
   File size:
   36.9 KB
   Views:
   36
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Viongozi waiprinti waisambaze ARUMERU MASHARIKI
   
 3. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Waitu kasinge Omujubi mukama akubele
   
 4. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 5. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  waitu tuliamo
   
 6. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  ama kweli, mzalendo namba moja KP keshawaonyesha msipoweza kuona, na ole wenu mlete hivyo visingizio maana hatutaki kusikia watu wkilalamika juu ya matatizo yale yale!
   
Loading...