Diwani wa CCM kata ya Olasiti akataa msaada wa madawati, awatimua waandishi wa habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani wa CCM kata ya Olasiti akataa msaada wa madawati, awatimua waandishi wa habari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Arusha Leo, Mar 27, 2012.

 1. A

  Arusha Leo Senior Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika hali isiyo ya kawaida diwani wa kata ya olasiti Ismaili Katambui jijini Arusha, amekataa katakata msaada wa viti na meza uliotolewa na mdau wa elimu Alex Martin kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya sekondari kata ya olasiti jijini Arusha kwa madai kwamba hakutambulishwa ujio wa msaada huo. Kadhalika aliwatimua waandishi wa habari waliofika kutimiza majukumu yao akiwemo Ramadhani Mvungi wa star tv, Joseph Ngilisho wa gazeti la serikali ya mapinduzi zanzibar leo, Yakubu Simba wa kituo cha redio 5 kwa kuwatishia kuwazaba vibao
   
 2. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hizi post zako mbona zinaonekana ni post za kwanza zote?
  ile ingine Ya Millya Imefutwa eeh!!

  Leta nyingine tena, hii nayo imeangalia Kibla!
   
 3. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  AMECHANGANYIKIWA HUYO ASAMEHEWE BURE mchakato wa arumeru unamnyima usingizi!
   
 4. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Atakuwa amepokea maagizo kutoka ngazi za juu za CCM kwamba asikubali kupokea msaada huo, kwasababu unaletwa na mfurukutwa wa CDM.
   
 5. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha haaaaa bora wazazi wa wenye watoto hapo shule wajionee aina ya viongozi wanaowachagua
   
 6. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwani msaada alikuwa anapewa yewe? au ye ni nani kwenye shule hiyo! aache siasa za uchochoroni.
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Wadau nipeni mwongozo, olasiti iko Arumeru Mashariki?
   
 8. E

  Emmajac Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ina depend na masharti yaliyo ambatana na msaada huo...umesahau mla uliwa
   
 9. P

  Praff Senior Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I think kitendo cha kukataa msaada wenye manufaa kwa jamii ni kosa, hata kama ni vita za kisiasa hapo imezidi, watz tunakoelekea ni hatari, mtu kama huyo aogopwe kamda ukoma.
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Natangaza rasmi kumvaa Katamboi mwaka 2015 kata ya Olasiti!
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  kabla ya uchaguzi wa 2010 ilikuwa Arumeru Magharibi kwa Elisa Mollel.
  Kwa sasa iko Jimbo la Arusha Mjini
   
 12. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  kama hii ni kweli, huyo mheshimiwa anatushawishi tuamini yeye ni wale wanaofanya siasa za kimalaya (political prostitution). Kwani kutokufahamu kwake ujio wa msaada huo kumefanya msaada huo kuwa haramu????? Na hata hvyo, kwani msaada ulipelekwa nyumbani kwake au shuleni (hapa namaanisha kwa mkuu wa shule)
  Na mwenye mamlaka ya kukubali au kukataa msaada huo ni nani kiitifaki au hata kiutendaji??? Huyu bwana katambui ni muflisi kichwani. Lakini naomba kama kuna uwezekano tukapata details zaidi kutoka kwa mmoja kati ya hao waandishi waliokuwepo, nao watupe side of the story.

  Nawakilisha wakuu
   
Loading...