Rage naye anayaharibu tena!: SIMBA ina husiana vp na serikali ya CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rage naye anayaharibu tena!: SIMBA ina husiana vp na serikali ya CCM?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAMC, Mar 25, 2012.

 1. M

  MAMC Senior Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Sasa huyu msomali na upeo wake woote anashindwa tofautisha ubunge wake wa magamba na uenyekiti wa simba!

  Anaongea radio one,eti "ntawanunulia wachezaji wote wa simba suti kama Zawadi ya ushindi wa leo, ili wazivae wakienda huko kwa marudiano, na kila atakae waona huko ajue Hawa ni vijana toka nchi inayoongozwa na chama cha mapinduzi"

  Mimi sijui kama wana Simba woote ni wanachama wa magamba,au kama walimchagua mwenyekiti kwa sababu ya uongozi wake kwenye magamba!

  Rage punguza uchemfu! Ukiona microphone akili inakuruka au......
   
 2. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  magambani sijui kuna laana!
   
 3. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Huyu naya hamnazo kabisa. Simba na CCM wapi na wapi, kama ndiyo akagombee uenyekiti wa yanga huko. Mimi tangu mdogo ninakumbuka yanga ilikuwa inafahamika kama timu ya CCM kutokana na sare, yake na simba daima ilikuwa upinzani. Kuna wakati ilikuwa associated na CUF, na siku za hivi karibu imekuwa associated na CHADEMA. Sasa CCM mbona hata harufu tu haimo. Si bora CHADEMA wana rangi zao nyekundu na nyeupe kwenye jezi ya Simba?
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hajui waarabu wengi ni cuf.
   
 5. U

  Ugweno Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpumbafu huyo msomali!Simba kama timu haina itikadi na hasitake kuharibu mshikamano uliopo,kama anazipenda sana rangi za magamba ahamie jagwani. All in All Mnyama hureeeeeee!
   
 6. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  yaani kanikera kweli rage
   
 7. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Huyu naye Zero kweli kweli!!
   
 8. b

  busar JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Kwani matokeo yakoje?
   
 9. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Rage sio mzalendo ndio maana anaropoka ropoka tu...
   
 10. only83

  only83 JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ccm = simba
   
 11. A

  Awo JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 793
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Atuachie Simba yetu, asiihusishe na laana ya magamba.
   
 12. Lighondi

  Lighondi JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 585
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Msameheni bure maana hajui hatendalo!!
   
 13. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Rage kama kweli umeyazungumza hayo mimi kama Mnazi wa Simba nakeambia kwamba "You are nothing except a Shit'
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Rage alichokosea hapo ni nini? sio kweli Serikali ya Tanzania inaongozwa na CCM?
   
 15. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...ni kweli mkuu amesema hivyo...
   
 16. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  MAHARAGE KWELI AMECHEMSHA. teh!
   
 17. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,571
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Msimuweke kwenye hesabu si ndio maana ni mbunge wa CCM, RAGE = 0
   
 18. U

  Ugweno Member

  #18
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Simba 2 Waarabu 0
   
 19. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  simba = CUF, waarabu wengi ni simba na waarabu wengi ni CUF, ndivyo tunavyojua..
   
 20. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  ....maneno huponza, ingawa ni kweli tz iko chn ya chama cha magamba bado..labda mtueleze nny mko chn ya serkal ya chama gani?
   
Loading...