Mahindi ya CCM Arumeru Mashariki yamekataliwa NAMIBIA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahindi ya CCM Arumeru Mashariki yamekataliwa NAMIBIA?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Kashaijabutege, Mar 27, 2012.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  http://www.google.co.uk/url?sa=t&rct=j&q=maize%20rejected&source=web&cd=2&ved=0CCYQFjAB&url=http%3A%2F%2Fwww.namibian.com.na%2Fnews%2Ffull-story%2Farchive%2F2012%2Fmarch%2Farticle%2Fsoutputz-residents-reject-rotten-maize%2F&ei=rX5xT6yuL4zQmAXD6ZDPDw&usg=AFQjCNGu5eI9oAwoEVVpvJ-X0_WK-j_cWw

  Leo asubuhi Nimeongea na rafiki yangu anayefanya kazi Namibia. Amenijulisha kuwa huenda mahindi yanayotegemewa kugawiwa kwa wananchi wa Arumeru Mashariki ni yale yaliyokataliwa na wananchi wa Namibia (bonyeza link hapo juu). Kuna tetesi kuwa huenda mahindi hayo yaliombwa na ujumbe wa CCM uliokwenda nchini Angola, mapema mwaka huu, kuhudhuria sherehe za miaka 50 ya MPLA, ambacho ni chama tawala cha Angola. Tetesi zinasema kigogo mkubwa wa CCM ndiye aliomba mahindi hayo baada ya kusikia kuwa wenzao wa Namibia wameyakataa mahindi hayo.

  Binafsi, ninasikitika sana kuona CCM isivyowathamini watu wake. Sikatai CCM kugawa mahindi Arumeru kama njia ya kuwashawishi wananchi waipe ushindi, lakini inanisikitisha kuona wanagawa mahindi mabovu ambayo yamekataliwa sehemu nyingine ya Afrika.

  Nawaomba wana Arumeru mkubali kufa kwa njaa kuliko kula takataka iliyokataliwa Namibia. Madhara ya mahindi hayo ni makubwa mno kwa watakao yatumia.

  Wameru sio wanyama.
   
 2. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ngoja tufatilie huko Namibia
   
 3. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  This is murder of first degree we should not tolerate ccm any more!!!
   
 4. K

  Kuchayaa Senior Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwanini wachukue mahindi yaliyokataliwa Namibia wakati Tanzania kuna mahindi mengi tu yana haribika kwenye maghara?I doubt this thread.
  Na kwanini CCM wapeleke mahindi Meru kipindi hiki cha uchaguzi kama hii sio rushwa?
  Na wao wananchi wa meru wanakubali tu just like that?Sidhani kama wananchi wa meru wanafikiria kwa kutumia matumbo hivyo.
   
 5. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM, CCM, CCM! Yaani kwa kutaka madaraka, mko radhi kutuletea mahindi mabovu yaliyokataliwa na binadamu wengine kweli! Yaani mnatuua hivi hivi! Hivi sisi watu wa Meru tumewatendea nini kibaya mpaka kustahili kufanyiwa ukatili wa kiasi hiki! Mungu atawalipa kwa kadri ya kipimo mlichoamua kutupimia.
   
 6. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 2,458
  Trophy Points: 280
  Vyovyote vile yawe mabovu au yamekataliwa, hoja ya msingi hapa ni kwa nn mahindi yatolewe kipindi cha kampeni? Na kwa nn arumeru wakati upungufu wa chakula si arumeru peke yake

  Kwa nn ccm shida ya w
  tz kipindi cha uchaguzi mdogo hii sio sahihi..
   
 7. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Aseeeee
  Duh!!!!
   
 8. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Maeneo ya Dodoma na Singida hapo wananchi wanalalamika sana njaa mbona hawapeleki mahindi huko? na maeneo husika yanajulikana kwa ukame
   
 9. Kiwewe

  Kiwewe Senior Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hata IGUNGA kwasasa ndiyo kuny njaa ya ukweli, maana mazao yalikaukia mashambani.
   
 10. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Dawa ya ccm sasa ni Ghadaffization tu, haya mengine ni porojo tu
   
 11. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,663
  Likes Received: 21,887
  Trophy Points: 280
  Hili jambo sio dogo,wenye uwezo wa kufatilia kwa vyanzo mbalimbali wafanye hivyo kabla ya Ijumaa ili walao kwa siku mbili watu wa Arumeru wafahamishwe walivyo pewa sumu wafe kwa malipo ya kura.
  KISHA WAO WATOE HUKUMU TAREHE MOSI APRIL
   
 12. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Stuka. CCM wauaji.
   
 13. commited

  commited JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  kuendelea kuikumbatia hii serikali ni kuendeleza mauaji vya kujitakia, njaa, laana, dhiki na umaskini wa fikra na rasili mali zetu.. Na ipo siku mungu atatuuliza zile rasilimali alizotupa kama talanta tumezitumiaje. Ccm ni wauaji na hili liko wazi tu halihitaji hata uende st kayumba. Lakini ipo siku tutapata ukombozi wa kweli hata kama ni baada ya miaka mingine 50.. Kuishabikia ccm unpaswa kuwa na akili na mawazo ya maiti sio siri.
   
Loading...