katika viongozi wakuu wa tanzania imeonyesha wazi ni nyerere na mwinyi waliokuwa waadilifu tu.nyerere na mawaziri wake 90% walikuwa wanatumikia taifa. Hapa hakuna mjadala,vijiji vya ujamaa elimu...
Kinyanganyiro cha Arumeru
Waandishi Wetu- RaiaMwema
Nassari asafiria nyota ya Mbowe, Chama
Vijana wengi hawajajiandikisha jimboni
CCM waumana ndani kwa ndani
WAKATI zikiwa...
Utekelezaji wa Mpango wa dharura wa umeme unasuasua kutokana ombwe la uongozi katika serikali inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete hususan udhaifu wa kiuratibu ulioonyeshwa na Waziri Mkuu Mizengo...
Jinsi Dogo janja anavyowapelekesha magamba wamefikia hatua ya kupanga mikakati michafu dhidi ya Nassari lakini kwakuwa amefunikwa na damu ya yesu hila na mipango yote mibaya inagonga mwamba...
Jamani nimepitia You tube na nikaikuta clip moja imewekwa ya Kijana Livingstone Lusinde Mbunge wa Jimbo la Mtera, aliyoyaongea wakati anampigia kampeni Mgombea wa CCM yanashangaza na huwezi amini...
By JENERALI ULIMWENGU
Posted Saturday, March 24 2012 at 11:36
Careful now, the madness we adopt during elections could one day refuse to go away.
It is becoming almost...
Wanajamvi ni swali tu. Toka uanze mfumo wa vyama vingi kuna chaguzi nyingi zimefanyika na kumekuwa na kesi nyingi za kupinga ushindi na baadhi ya wabunge kuvuliwa ubunge kwa ukiukaji wa sheria na...
Na Stephano Mango, Songea
WANANCHI wametakiwa Kuonyesha hasira zao kwa watawala kwa kuwachagua wagombea udiwani waliosimamishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)katika Kata saba...
CHADEMA WAGUNDUA MBINU ZINAZOTUMIWA NA CCM KUCHAKACHUA NA KUIBA KURA..!i.. NI HATARI TUPU..!i..
Labda Tukumbushane Historia ndogo tu ya CHADEMA ya viongozi wakuu walioko
madarakani. Wengi wa...
Kwa muda mrefu nimekuwa sifurahishwi kabisa na tabia ya viongozi wa Tanzznia kuwarisisha uana siasa watoto wao. Mfano wa wanasiasa waliorithi uana siasa wa baba zao ni pamoja na Amani Abeid...
Kumekuwepo na mjadala mkubwa sana katika mitandao ya kijamii kuhusu Umri na uraisi nami leo ningependa kujadili mada hii kadiri ya uwezo wangu.
Nafasi ya uraisi ni nafasi ya juu kabisa katika...
Nimemsikia msajili wa vyama vya siasa John Tendwa akisema rangi ya bendera ya chama kipya cha ADC ni sawa kabisa na za CHADEMA, bendera hizo zinatofautiana tu kwenye alama zilizopo
Great thinker...
walianza na HALI MPYA, NGUVU MPYA NA KASI MPYA..................Ikachuja mda mfupi baada ya kikwete kuwa rais. MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA..................Ikachuja mda mfupi baada ya kikwete...
Wakuu kuandikia mate si jadi ya wanaJF makini. Hebu jionee baadhi ya picha katika kijiji cha Kitefu ambacho kipo mbali kidogo na mji wa Maji ya Chai lakini watu walijitokeza kwa wingi kulingana na...
Nawapongeza Chadema kwa ushiriki wenu wa chaguzi ndogo, mlishiriki Igunga na Uzini kikamilifu ingawa kura hazikutosha.
Leo hii mnapiga jaramba Arumeru ambako matokeo yako wazi; CCM itakuwa...
Katika hali ya kushangaza na kukatisha tamaa jana ktk kampeni zinazoendelea, hapa ktk kijiji cha waathirika walionyang'anywa ardhi na wanaoitwa wawekezaji, MAMBO YALIBADILIKA PALE WANANCHI...