Kiwira Kumekucha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwira Kumekucha

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by nice 2, Mar 27, 2012.

 1. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kamanda Zitto akiwa teyari kuongoza mashambulizi kwenye campaign za udiwani mchana huu kata ya Kiwira - Mbeya.
  Peoplesssssssssssssssssssssssssss


  Screen_20120327_155544.jpg Screen_20120327_155524.jpg P3270007 (2).jpg P3270009 (2).jpg P3270010 (2).jpg
   
 2. Kiwewe

  Kiwewe Senior Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huyu jamaa huwa namkubali sana katika mashambulizi.
   
 3. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  nasikia watu walikuwa wanashangilia ....RAIS!! RAIS! RAIS..kila alipokatiza Zitto!!
   
 4. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zitto ni namba nyingine, BIG UP KABWE
   
 5. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli mkuu hata mimi nimesikia, unaambia watu wanashangilia PREZDAA
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Chadema tunakwenda vizuri lakini tatizo letu litasababishwa na huyu jamaa ndumilakuwili
   
 7. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Acha kuudhi watu mkuu bila sababu...lol
   
 8. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Good move, Mimi ninaomba asisahau kuwakumbusha kwamba huo mgodi alichukuliwa kwa bei ya kutupwa na Mkapa na familia yako wakati akiwa IKULU. Lakini kutokana People's power ikiongozwa na CDM huo mgodi umerudishwa tena kwa wenye mali wananchi. People's Power!

  Mkapa na CCM AIBU YAO.
   
 9. J

  Jozdon Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 17, 2008
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mgodi haupo hapo kiwira mkuu
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Yaani hao watu wa kiwila inabidi wawape CCM zero kabisa maana mgodi wa kiwila uko Idle kitambo as a result ata maisha yao yameghafilika kwa kiasi kikubwa.
  Mgodi ulikuwa na impact sio tuu kitaifa but Kyela na Rungwe walikuwa wanakula shavu sana apo!
   
 11. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Wanoko tayari walisha andika uchuro hapa eti Zitto yupo kivyake kumbe ameenda kushambulia Mbeya
   
 12. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu tatizo sio Zitto bali tatizo ni sisi wenyewe kuruhusu watu wengine watuvuruge.
  Shida ya Zitto yuko very straight, hajui kumun'gunya maneno, hapendi lugha za kisiasa maana ndizo zimelifikisha Taifa hapa tulio. Huwa anasema kile anachokiamini, hata kama hakifurahishi maskioni mwa wengi.
   
 13. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,674
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Zitto Kabwe.....!! raha iliyoje kuwa na Rais kijana.
   
 14. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  sio kila unachokiamini kinakuwa sawa au ukiongee publicly,kauli yake ya kutaka kugombea urais sio mda wake,sasa ameifanya cdm ionekane kama ccm yenye makundi ya urais,nahisi huyu bwana anatumika.
   
 15. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  don be biased wewe director wa mikokoteni, ndani ya cdm zitto ni jembe la ukweli angalia namna anavyojenga hoja, uelewa wake na jinsi anavyoweza kuiteka hadhira kwa hoja, jamani tuache kujidai sisi ni miungu kuwa hatuna mapungufu yetu kama binadamu, wote tuna madhaifu ya moyo lakini tukubali kujichunguza nafsi zetu na kuatendea wengine haki, nakumbuka kauli ya yesu kuwa na ' .....na asiye kuwa na dhambi awe wa kwanza kumpiga mawe mama huyu.....' wote wakaondoka.................
   
 16. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  like like
   
 17. F

  Froida JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Kule akipindisha lugha watamdindia ile ni teritory nyingine wanaitwa wanyambala na wakikulu hawajali Chadema nzima kwao ni Raisi David Silinde Raisi,Sugu Raisi Mzee wa Upako Raisi Dr Slaa Raisi
   
 18. F

  Froida JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Unategemea angeacha kujisafisha mtulinga aliouanzisha lazima aingie kwnye agenda ya chama uchaguzi,janja iko iyo toto
   
 19. M

  Marytina JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  rais,rais,rais
  zitto sometimes unafurahisha
   
 20. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu sio kila mtu anachokiamini ni sahihi, tatizo unatanguliza hisia mbele. Issue ya Zitto kuutaka urais ina thread karibu 10 hapa jamvini, bora tujadili kule kwenye respective threads
   
Loading...