Chama cha ADC chapata usajili wa muda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama cha ADC chapata usajili wa muda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpigania Uhuru, Mar 26, 2012.

 1. Mpigania Uhuru

  Mpigania Uhuru Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nimemsikia msajili wa vyama vya siasa John Tendwa akisema rangi ya bendera ya chama kipya cha ADC ni sawa kabisa na za CHADEMA, bendera hizo zinatofautiana tu kwenye alama zilizopo
  Great thinker hii imekaaje?
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,145
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 280
  ADC wabadilishe bebdera yao.........
   
 3. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,011
  Likes Received: 2,198
  Trophy Points: 280
  Yeye msajili angesema tu rangi ya ADC ni nyekundu, bluu bahari, nyeupe na nyeusi, bila ya kuitaja CHADEMA. Watu wenyewe wangegundua kuwa ni sawasawa na ya CHADEMA. Tendwa kutamka hilo ataonekana anataka kuibua hoja fulani. Jamaa huwa simuelewagi!
   
 4. Mpigania Uhuru

  Mpigania Uhuru Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nashangaa Tendwa kashindwa kufanya uamuzi wa kuikataa hiyo bendera!
  Hawa jamaa wa ADC vitu vyao vingi ni vya kukopi!
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Kwani hamad rashid ni chadema this moment?
   
 6. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni mbinu za CCM kutaka baadae kufoji ili kwenye mikutano ya ADC watakapokuwa wanapata watu kiduchu wao wapate nafasi ya kuwadanganya watu kwamba CDM kimekosa mvuto na kutoa picha za mikutano ya ADC wakionyesha na bendera zinazofanana na CDM kwenye magazeti yao Uchwara ya Jamba leo, Habari leo, Uharo, Mzalenda, Dailypuuzi n.k.
   
 7. p

  politiki JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,330
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  msajili hana mamlaka ya kuwachagulia watu bendera yao wanayoitaka
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,054
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kwanini SHETANI afananishwe na MUNGU?. ADC wanatubeep tuwa...
   
 9. paty

  paty JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,212
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  tendwa ni msahili sana, kila anolfanya linakuwa kuilenga CDM , huyu jamaa anatumika na magamba
   
 10. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Chama kipya cha Adc kimepata usajili wa muda baada ya kupeleka Manifesto yakea.source..chanel ten
   
 11. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Anasema bado wanaitathmini bendera,cjui nae katokea wapi
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,833
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  watu wenye upara na wakawa na akili ni wachache sana. ni wa kuhesabu.
   
 13. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,028
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Dondosha picha tuone ndio tuongeee bana
   
 14. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,835
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Nadhani kufananisha bendera kutawa changanya sana watu siku za chaguzi zitakazotokea, na hii itaigharimu CDM
   
 15. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,914
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  kirefu cha ADC ni nini?
   
 16. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,846
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kuna mawili
  1. CDM ni kiboko, mambo yake makubwa kila chama kitapenda kuyaiga au
  2. Kuna jamaa wamejiengua ndani ya CDM na kuunda ADC hivyo mawazo yao bado yapo ki-CDM ki-CDM.
   
 17. assa von micky

  assa von micky Senior Member

  #17
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  chama cha adc kimepewa usajili wa muda...bendera yao kama ya cdm
  source ITV
   
 18. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,645
  Likes Received: 1,669
  Trophy Points: 280
  Wachokozi kweli hawa! Mbona rangi zipo nyingi tu....hakuna sababu ya 'kugezana'.
   
 19. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hilo ni tawi la CCM na ndiyo maana wameamua kujifananisha na CDM kuanzia bendera mpaka sera eti walikuwa wanaimba katiba mpya.
   
 20. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kuna vitu vingine vinakera sana. Hata mie sijawaelewa!

  Ila Tendwa amesema kuwa endapo Chadema watalalamika basi hawa waliopata usajili leo ndio watatakiwa kubadili rangi za bendera yao.
   
Loading...