JUST NOW: Kampeni Za CCM Shangarai Zadoda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JUST NOW: Kampeni Za CCM Shangarai Zadoda

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Puppy, Mar 29, 2012.

 1. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,268
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  Nimepita hapa Shangarai nikaona mkutano wa kampeni wa CCM ukiwa na wasikilizaji wasiozidi (eight to be exact).
  Wako na magari yao tu
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Weka picha tafadhali ili kuongeza mashiko ya thread:A S-coffee:
   
 3. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,746
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  Dah!imekula kwao
   
 4. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkuu sasa hivi bado sana muda wa kampeni

  Namaanisha wabafunzi wa shule za msingi hawajatoka shule bado!!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Pole zao!
  Wana Arumeru WASHASTUKIA utapeli wa hili genge la mabazazi!
   
 6. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  uongo mwingine ni kujipa moyo tu,watu wanane unawajua wewe?,ccm wakose hata balozi mmoja na familia yake? mambo mengine nikujipamoyo pasipostahili wanaweza kukosa watu lakini si kihivyo bora ungesema eighty
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wewe unaongea kwa hisia wakati mtu yupo eneo la tukio!
   
 8. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Matusi ya Leo sijui yataelekezwa kwa nani, ngoja nimwambie mwanangu asipite maeneo hayo!
  Leo Lusinde anaweza kuvua nguo kabisa!
   
 9. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,401
  Trophy Points: 280
  Wananchi wenye akili timamu hawawezi kuja kumsikiliza lusinde!
   
 10. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,638
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Basi tuseme wapo eighty
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kampeni hizi nafikiri watu wanawakataza hata watoto wao kwenda kusikiliza.

  Haya matusi ya Lusinde kwa kweli ni mazuri mno......

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Fekifeki

  Fekifeki JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,163
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  aisee chalii wangu,
  imekula kwao(sisiemu)!
   
 13. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Labda matusi yamezidi maana watu wa huko ni wacha Mungu
   
 14. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  nikweli kabisa ukichanganya na sera mahiri za ccm zinatolewa na genius kama lusinde lazima wajae, chama kinachojali wanyonge lazima wakipende au sio
   
Loading...