Chadema ni Wachanga CHAGUZI Ndogo

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Nawapongeza Chadema kwa ushiriki wenu wa chaguzi ndogo, mlishiriki Igunga na Uzini kikamilifu ingawa kura hazikutosha.

Leo hii mnapiga jaramba Arumeru ambako matokeo yako wazi; CCM itakuwa kidedea.

Pasipo kumung'unya maneno, Chadema mnapozwa na vijana ambao wanajaa katika mikutano yenu pasipo kuwa na kadi ya kupigia KURA eneo husika. Tunajua wengi wa vijana hao mmewaleta toka Moshi, Arusha na Mererani hivyo hawana sifa za kupiga kura.

Poleni sana na MZIDI kupata uzoefu wa kushindwa CHAGUZI Ndogo pamoja na kutumia nguvu na raslimali nyingi kupita maelezo
 
Very myopic JF great thinker Mafilili. Ilikuwaje wakashinda Tarime baada ya kifo cha Chacha Wangwe? Sio lazima uanzishe thread unaweza kusoma kilichoandikwa na watu wengine tu ili uzidi kujifunza namna ya kufikiri vizuri sio kwa kuanzisha thread isiyokuwa na substance
 
Nawapongeza Chadema kwa ushiriki wenu wa chaguzi ndogo, mlishiriki Igunga na Uzini kikamilifu ingawa kura hazikutosha.

Leo hii mnapiga jaramba Arumeru ambako matokeo yako wazi; CCM itakuwa kidedea.

Pasipo kumung'unya maneno, Chadema mnapozwa na vijana ambao wanajaa katika mikutano yenu pasipo kuwa na kadi ya kupigia KURA eneo husika. Tunajua wengi wa vijana hao mmewaleta toka Moshi, Arusha na Mererani hivyo hawana sifa za kupiga kura.

Poleni sana na MZIDI kupata uzoefu wa kushindwa CHAGUZI Ndogo pamoja na kutumia nguvu na raslimali nyingi kupita maelezo

Upo mwezini nini? Wenzako tupo duniani ndugu yangu.
 
Soma alama za nyakati, inabidi nawe uwende ukapimwe akili milembe.Inavyoonekana uko nyuma kifira,kimtazamo na hata kimawazo KAMA VILE CHAMA CHA MAGAMBA.
 
w
ewe mafili utatoka lin CCM,mbona king"ang"aniz achana siasa za kale nazan utakuwa na maslahi na hao mafisad
 
Back
Top Bottom