Kauli mbiu za CCM zinachuja kwa kipindi kifupi why......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli mbiu za CCM zinachuja kwa kipindi kifupi why.........

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by majogajo, Mar 28, 2012.

 1. m

  majogajo JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  walianza na HALI MPYA, NGUVU MPYA NA KASI MPYA..................Ikachuja mda mfupi baada ya kikwete kuwa rais. MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA..................Ikachuja mda mfupi baada ya kikwete kuwa rais. tena vijana wakikisikia unaisema wanaweza kukupiga mawe. ikaja SERIKALI YETU NI SIKIVU...........ikachuja baada ya kikao cha bunge la bajeti, wahubiri wakuu wabunge wa ccm, spika wa bunge na mawaziri. TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE. ikachuja baada ya maadhimisho ya uhuru. hii haoikupata mafanikio sana maana waliokuwa wakijitahidi kuihubiri ni wale waliokuwa wakifaidika nayo kama mawaziri, wabunge wa ccm,wakubwa wa mashirika ya umma na wale walijipeleka siku ya maadhimisho ya uhuru kuona ndege zinavyoruka angani, huku wenzetu wakituma vyombo angani ss bado tunaenda kushuhudia ndege za kivita zikiruk kwenye nchi yenye amani ya kijinga. wamekuja na kauli mbiu nyingine, KUKATAA KOO ZA WATU(Steve Nyerere), kufatilia mahusiano ya watu (Dr na Josephine), kupakazia watu, kutengeneza nyaraka mbalimbali za uongo na kuhubiri matusi. ................hizi zimetokea arumeru. Ongezea na wewe............................. na unahisi watakuja na ipi sa hv.
   
 2. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu siasa inaenda na wakati kama miziki ya bongo fleva, ukiona sigle hailipi unatoa album nzima full vionjo kisha unasikilizia. ukiona nayo hailipi unashirikisha wengine kama ilivyo sasa zanzibar serikali ya umoja wa kitaifa
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Hawajajipanga hao,peopleeessssssss!
   
 4. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nawasiwasi kama watu watachangia mkuu, hoja yako ni nzuri na ina mashiko ila JF watu wanachangia kwa kujuana... utaona kwa mfano kwa sababu fulani ni JF EXPERT MEMBER na ameandika kitu cha kawaida kabisaaaaa lakini wachangiaji 250.. andika wewe MEMBER au SENIOR MEMBER hata kama ni habari ya maana kiasi gani utakuta wachangiaji 10...
  kuonyesha wanajuana mkuu utakuita mtu anachangia post kwa mtindo huu, nanukuu.. " jamani wewe (Jina la mwana JF) sijakuona jamvini muda, ulipotelea wapi?", hapa utajiuliza huyu mtu anachangia post ama kuna mengine?
   
 5. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, kinachochuja siyo kauli mbiu, bali ni CCM yenyewe!
   
 6. m

  majogajo JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mbona peples powerrrrrrrrrrrrrr haijachuja mkuu.
   
 7. m

  majogajo JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kumbe ndio maaaanaaaaaaaaa, ok leo nimejua namimi nitaanza kuwa bias kwa EPERT MEMBERS.
   
 8. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Pipoz power kama singo za roma
   
 9. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu mbona umetoka nje ya mada?
   
 10. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mkuu jaribu kuangalia trend ya uchangiaji wa hii mada ndo utajua kuwa nimetoka nje ya mada ama la... ninachokisema kipo mkuu hata kama hutakubali... na si kwamba mimi ni mpostiji maarufu, la shasa!! ila naona jinsi wasiofahamika wanavyokuwa treated..inanipa wakati mgumu wa kupost kitu kwa kuwa kwa hakika kitakosa wateja hata kama kingekuwa kizuri kiasi gani... tunaishia kuchangia tu post za watu
   
 11. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  umesahau huko Arumeru Mashariki wanakauli mpya "TOBIKOoooo" hata maana yake sijui
   
 12. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  umeisahau hii NAWEKA MAMBO SAWA mi sijui imepotelea wap?
   
 13. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kilimo kwanza hivi sio ya kwao?ni ya serikali lakini si ni serikali ya c.c.m?na hali zaidi,kasi zaidi,nguvu zaidi.....yaani kama kauli mbiu ndio zingekua maendeleo,Tanzania ingekua mbali sana kimaendeleo chini ya utawala wa c.c.m,maana ni mabingwa wa kauli mbiu hao!
   
 14. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Na saizi ukisema Arumeru tu CCM lazim ukunga uwwwwwwwiiiiiiiiii kama mtu amegongwa na gari.

  Sijui ni nani anayecheza muzuki wa mwenzake.
   
 15. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Tamba uone!
   
 16. Kiwewe

  Kiwewe Senior Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi sina mengi, naongezea hizi za Mh. Livingstone Lusinde: Bofya hapa Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru - YouTube
   
 17. s

  sangija Senior Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aisee big up.Hapo umemaliza kabisa,kweli tupu nshastukia hata mie
   
 18. m

  majogajo JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ile ya WAKATI WA UKWELI NA UWAZI ilifanikiwa kweli? kwangu sikuona kama ilifanikiwa maana walipommaliza Mwl.Nyerere hawakuja kutueleza ukweli sabb za kum RIP.
   
 19. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,026
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Kwa sababu ni za uongo.
   
Loading...