Je, kuna msimamiz wa uchaguzi wa jimbo, wakituo au wakala, alishawahi kufungwa kwa kuhujumu uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, kuna msimamiz wa uchaguzi wa jimbo, wakituo au wakala, alishawahi kufungwa kwa kuhujumu uchaguzi

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mumburya, Mar 29, 2012.

 1. m

  mumburya JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 268
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 45
  Wanajamvi ni swali tu. Toka uanze mfumo wa vyama vingi kuna chaguzi nyingi zimefanyika na kumekuwa na kesi nyingi za kupinga ushindi na baadhi ya wabunge kuvuliwa ubunge kwa ukiukaji wa sheria na taratibu za uchaguzi, je imeshawahi kutokea waliosababisha hayo kuchukuliwa hatua, maana binafsi sijawahi kusikia.

  Swal hili nimuhimu ukizingatia kwamba kuna uchaguzi mdogo Aruemeru, je, ikitokea msimamizi akatangaza tu takwimu zake alizotengeneza na mke wake kama hakuna aliyewahi kuchukuliwa hatua si inawezekana tu?
   
 2. Abdillahjr

  Abdillahjr JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nduguushawahi hata cku moja kuona kibaka/vibaka wanafukuza au kupiga mwizi?? Hauoni wakurugenzi na madc wanapanda vyeo kwa kuvuruga matokeo??
   
Loading...