Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kundi la akina mama wamekutwa katika jengo la saccos Kiwira ambalo bado halijaisha wakiwa na makada (wanaume) watatu wa CCM. Wanachadema wamezunguka eneo hilo na tayari polisi wamewasili...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Anahangaika na disco wakati hatuna umeme. source. * tv
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Niko kwenye basi naelekea arumeru mashariki, kadi yangu ya kupiga kura ikiwa mfuko wa shati, tayari kwa kupiga kura kumpitisha kiongozi aliyebora.
0 Reactions
1 Replies
694 Views
Kampeni zimeitimishwa,na mmesikia sera za vyama nane tofauti,lakini tunaomba vijana wenzetu mpigie CHADEMA.Coz vijana wakazi tupo CHADEMA,tunafanya kazi na inaonekana.
2 Reactions
0 Replies
829 Views
Mkutano wa mwisho wa chama cha mapinduzi umefunika kwa umati mkubwa wa watu kuja kusikiliza mkapa live. Kesho ni kichapo kwa Chadema.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
EL jana kwenye ule mkutano wake ameonekana akiselebuka kwa mbwembwe nyingi. Vuvuzela alisema hatapanda jukwaani, yako wapi? that is a break through, hakuna yeyote wa kumzuia tenaaaa! in short...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Hivi ni kweli siasa ndio kipimo cha huelewa, busara, kukubali kukandamizwa in Tanzania?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika kile kilichoonekana kuwa ni mbinu za CCM kuficha ukweli wa matukio yanayotokea arumeru star tv imekata matangazo toka jana. wanabodi kama kuna mdau wa star tv atujuze nini kinaendelea.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Saturday, 31 March 2012 09:45 Mwandishi wetu WAZIRI wa Madini na Nishati, William Ngeleja, amesema miongoni mwa mafanikio ya sera na sheria mpya ya madini, migodi minne imeanza kulipa kodi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndiyo wakuu ! Zito Kabwe tayari yupo jijini mwza, tayari amefungua tawi la Msumbiji,kata ya Pasiansi. Sasa hivi anaelekea Igoma kufungua tawi ,baadae ata elekea Magomeni Kirumba kufunga...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Tangu tupate uhuru nchi hi imekuwa ikikabidhiwa kwa miungu na kufanyiwa matambiko kwa kisingizio cha kuheshimu mila.matambiko haya yamekua ni moja ya ibada katika sherehe mbalimbali hasa pale...
0 Reactions
1 Replies
923 Views
Nani mwenye mtazamo chanya kuhusu muelekeo wa nchi yetu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Aliyekuwa Waziri Mkuu Bw. Edward Lowassa wakati akimnadi mgombea wa CCM Sioi Sumari hapo jana eneo la Patandi alijinadi kuwa mjadala wa matizo ya ardhi,maji na umeme huko Arumeru umefungwa kwa...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
madiwani wa manispaa ya Musoma wanendelea kumwaga sera na kuelezea wanafanya nini kwenye manispaa ...watu ni wengi ....Naripoti...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
tukielekea uchaguzi wa tarehe 1.4.12 ccm yaanza umafya ya mwagia tindikali na kungoa bendera zote za chadema hapa usa river...kwa sasa vijana wako hospital na bendera zinaendelea kupandishwa upya
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Ndugu wa Jf.... Sasa ni dhahiri kuwa dk. Slaa ametibua mbinu zote za kuiba kura zilizokuwa zikipangwa na CCM kule arumeru mashariki.Uzoefu unaonyesha kuwa kuna njia nyingi ambazo ccm wamekuwa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
:A S 13:
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Na Reginald Miruko - Imechapwa 21 March 2012 WAZAMBIA walipotunga sheria inayombana Rais Mstaafu kujihusisha na masuala ya “siasa za kila siku”, walilenga mambo mengi. Sheria hii kila mtu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi TZ hatuna kampuni za kuendesha kura za maoni kabla ya chaguzi? wadau wenye matokeo ya tafiti za namna hii (opinion polls) watumuvuzishie matokeo basi
0 Reactions
10 Replies
2K Views
katika hali inayotia shaka nimeamka saa tisa usiku na kukuta umeme umekatika. Mpaka mida hii ninapopost thread haujarudishwa.Jambo hili limenishtua sana kwani ni hivi majuzi tu tuliambiwa hakuna...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…