Ushirikina ndio unaitesa ccm na serikali yake. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushirikina ndio unaitesa ccm na serikali yake.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by PISTO LERO, Mar 31, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Tangu tupate uhuru nchi hi imekuwa ikikabidhiwa kwa miungu na kufanyiwa matambiko kwa kisingizio cha kuheshimu mila.matambiko haya yamekua ni moja ya ibada katika sherehe mbalimbali hasa pale tunapo fanya kumbukumbu mbalimbali za kitaifa kama za uhuru na haswa pale nchi inapo mkaribisha kiomgozi mpya wa kitaifa kama raisi.tuna walaumu ccm na serikali yao kwa kutuingiza kwenye laana hi.ikumbukwe kuwa hata matatizo yanayo mkumba DR.KIKWETE niya kujitakia kwani hata wakati akiapishwa aliitelekeza dini yake na kuamua kutumia katiba badala ya msaafu wakatu wa kaishwa kwake,na baada ya hapo walianza ibada za matambiko palepale uwanjani.ndugu zangu zambi hi ndiyo inayo itafuna ccm na serikali yao na taifa kwa ujunla,niwakati hasa wa kutizama mwenendo wetu kwani zambi hi haita tuacha,tuliyaona haya na hatuku yapinga wala kuyazuia,kila kitu nchi hi kinafanywa kwa mila na matambiko,hata uko ARUMERU ndio mtindo unaoendelea wa kuwatukuza wazee wa milla kana kwamba bila wao hakuna maisha.

  nawasilisha.
   
 2. z

  zedlyn JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  we unaijua meru vizur?kila kabila lina mila na desturi zake kama kwenu hamna wazee au hamuwasikilizi wazee pole yako
   
Loading...