Wafuasi watatu wa CHADEMA wamwagiwa tindikali Arumeru

yegella

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,113
1,102
tukielekea uchaguzi wa tarehe 1.4.12 ccm yaanza umafya ya mwagia tindikali na kungoa bendera zote za chadema hapa usa river...kwa sasa vijana wako hospital na bendera zinaendelea kupandishwa upya
 
Mahali popote alipo Mwigullu Nchemba lazima mauaji yawepo huyo ndio wa kulala na ye
 
Pole sna kama ni mauaji ccm wasianzishe maana damu siyo kitu kizuri wanaokufa mahospitalini na kwenye mbuga za wanyama wanatosha
 
kila siku wana hubiri siasa za kistaarabu lakini ndiyo wa kwanza kuvuja sheria...
 
Wa TZ tunakoelekea ni kubaya sasa,
Haya mamabo ya unyama yanini?
 
Hakuna kitu kibaya kama kulamisha 'ushindi'. Utaongozaje watu waliokukutaa kwenye sanduku la kura? Serikali ya sasa inasumbulia na ushindi wa NEC, lakini bado wanataka kurudia huko Meru.
 
Wewe jamaa unaamini kila upuuzi unaoletwa na CDM wenzekao nani kamwagiwa tindikali?
Unaliwa pande zote!! watamu sana
67405_135633996487077_100001214312304_196383_6802352_n.jpg
 
Hivi kama umetulia mwingine atakujaje kukufanyia maafa makubwa kama haya? Sishabikii watu kuumizwa bali nawaasa viongozi wachadema wahubiri amani na uvumilivu zaidi ya kauli za jazba jamani. Mwenzenu napata shida kumuhubiria mama yangu kwanini achague CDM na wala sio magamba yote hii ni kwasababu kila akiona CDM ni habari za vurugu, kwani kuwa kijana ndo kuwa mbabe? Embu rujirekebishe hawa wazazi wetu hawaelewi haya na hasa ukizingatia wao ndo wenye kadi za kupigia kura yangu ni ya Mwanza nateseka kupoteza hizi kura mbili jamani
 
tukielekea uchaguzi wa tarehe 1.4.12 ccm yaanza umafya ya mwagia tindikali na kungoa bendera zote za chadema hapa usa river...kwa sasa vijana wako hospital na bendera zinaendelea kupandishwa upya


Vipi mkuu, waweza kutuambia ni hospitali gani hiyo waliko hao vijana ili nifuatilie?
 
Sisiem ya sasa hata ya zamani bila vurugu hakuna ushindi, bila pesa hakuna kushinda, bila kutishiana silaha hakuna kushinda tunaomba viongozi watafute falsafa nyingine maana wanayotumia itatuletea vurugu kubwa nchini hasa tunavyoelekea 2015!!!
 
Back
Top Bottom