Mtazamo wa Marais wetu...

Mtazamo wa Marais wetu...

Igabiro

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
242
Reaction score
27
Nani mwenye mtazamo chanya kuhusu muelekeo wa nchi yetu
 

Attachments

  • TZ President.jpg
    TZ President.jpg
    58.9 KB · Views: 116
Who is best among them?.I think is mwl.J.K.Nyerere on kilimo as majority of Tzs live by dependng on it.Then who is worst? I thnk the 2nd J.K back to N as he spends most of his time travels abroad surveying for nothing while his voters live poor life with abudant natural resources and human resources,and the economy of his country is droping drastically unreasonably!.We need m4c to rescue the catastrophy!.
 
Mbona mwanzisha mada umeweka katuni za marais lakini huyo wa upande wa kulia ameingiaje kwenye list ya maraisi??
 
kila mtu ana mwelekeo.
Ila wote wana uelekeo tofauti ambao hausapotiani.
 
compare and contrast

1st and 3rd - wamevaa kijani na yellowish gb , uchumi afadhali...?
2nd and 4th - amevaa nyeusi na white gb, uchumi hoi...?
 
Ila huyi wa nne katia fora, hebu mcheki jinsi alivyo na anavyotamka hiyo statement yake
 
Back
Top Bottom