Arumeru mashariki-umeme umekatika usiku wa manane

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
katika hali inayotia shaka nimeamka saa tisa usiku na kukuta umeme umekatika.
Mpaka mida hii ninapopost thread haujarudishwa.Jambo hili limenishtua sana kwani ni hivi majuzi tu tuliambiwa hakuna mgawo wa umeme.

Nini kinaendelea usiku wa manane hapa arumeru mashariki?
 
Ni signal nzuri,chadema wapeni mawakala tochi za betri nane 2one hujuma za giza vituoni kama itafanikiwa.WHATEVER IS EXCELLENT
 
Kwa uzofe leo transformer mbili zitaharibika asubuhi hii na baadhi ya sehemu nguzo za umeme zitakuwa zinabadilishwa. Yote haya ni jitihada zao umeme usipatikane leo.

Wakikata umeme kwenu usijali, njoo Leganga au Patandi tufunge kampeni, na Kama vipi beba na Blanket tukakeshe ngomeni
 
katika hali inayotia shaka nimeamka saa tisa usiku na kukuta umeme umekatika.
Mpaka mida hii ninapopost thread haujarudishwa.Jambo hili limenishtua sana kwani ni hivi majuzi tu tuliambiwa hakuna mgawo wa umeme.

Nini kinaendelea usiku wa manane hapa arumeru mashariki?

Mtoa uzi labda kama sijakuewa. Kukatika umeme kunahusiana vipi na hujuma na hata kura hazijaanza kupigwa au kuhesabiwa?

Hiyo ni hali ya kawaida sana, Dar umeme unaweza kukatika asubuhi ukarudi jioni na kukaa nusus saa na kuondoka tena!!!! Unasemaje na hilo?

Hujuma huwa hazijifichi mkuu.
 
Hiyo ni dalili kuwa MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA yanawezekana kwa KUIONDOA SISIEM. Inawezekana tuanze na Arumeru Mashariki.
 
Ebo!Usikatike Umeme huko kwani kuna nini??? Sisi wenyewe tulikaa Siku 1 bila umeme sembuse huko.
 
Mtoa uzi labda kama sijakuewa. Kukatika umeme kunahusiana vipi na hujuma na hata kura hazijaanza kupigwa au kuhesabiwa?

Hiyo ni hali ya kawaida sana, Dar umeme unaweza kukatika asubuhi ukarudi jioni na kukaa nusus saa na kuondoka tena!!!! Unasemaje na hilo?

Hujuma huwa hazijifichi mkuu.

Sema wewe Kaka maana huko Arumeru wanapaona kama Eneo fulani kubwa sana kwamba kuna watu wana thamani sana.
 
Mtoa uzi labda kama sijakuewa. Kukatika umeme kunahusiana vipi na hujuma na hata kura hazijaanza kupigwa au kuhesabiwa?

Hiyo ni hali ya kawaida sana, Dar umeme unaweza kukatika asubuhi ukarudi jioni na kukaa nusus saa na kuondoka tena!!!! Unasemaje na hilo?

Hujuma huwa hazijifichi mkuu.

ili hujuma zifanikiwe ni lazima zionekane kama utaratibu wa kawaida.
Hujuma ni mchakato na sio tukio!
Nisome vizuri utanielewa!!
 
Kwanza huku kukatika umeme nadra kutokana na mashamba ya maua ambayo yana kodi kubwa huku arumeru
 
Ebo!Usikatike Umeme huko kwani kuna nini??? Sisi wenyewe tulikaa Siku 1 bila umeme sembuse huko.
naona baada ya kulipenda neno ''ebo'' umeanza kulituma kwenye posts zako.

Arumeru kuna uchaguzi uliovutia viongozi muhimu wa chama na serikali ikiwa ni pamoja na rais mstaafu,waziri mkuu aliyejiuzulu,naibu waziri wa ardhi,mwenyekiti na katibu mkuu wa chadema,mamia ya polisi na maaskari kanzu...

Nadhani nimekuelewesha huku arumeru kuna nini.
 
jamaa wa kudaaadadeeki wameanza kazi sasa. tutegemee umeme kukatika siku zote za uchaguzi hasa wakati wa kuhesabu. ni ujanja tu wanatumia
 
Mtoa uzi labda kama sijakuewa. Kukatika umeme kunahusiana vipi na hujuma na hata kura hazijaanza kupigwa au kuhesabiwa?

Hiyo ni hali ya kawaida sana, Dar umeme unaweza kukatika asubuhi ukarudi jioni na kukaa nusus saa na kuondoka tena!!!! Unasemaje na hilo?

Hujuma huwa hazijifichi mkuu.

we mpuuzi sana, kukatika umeme ni kawaida? Mpinga maendeleo kama shetani. Ooovyo
 
Back
Top Bottom