Chadema wafunika Musoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema wafunika Musoma

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by THE STRONG, Mar 31, 2012.

 1. THE STRONG

  THE STRONG Senior Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  madiwani wa manispaa ya Musoma wanendelea kumwaga sera na kuelezea wanafanya nini kwenye manispaa ...watu ni wengi ....Naripoti...
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Tujuze mafanikio yaliyopatikana na changamoto zake. All the best mkuu.
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ni kweli kabisa, Musoma inafanya vyema!
   
 4. THE STRONG

  THE STRONG Senior Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  diwani wa kata ya Makoko mh Aloyse Mawazo anasema kwamba manispaa ya Musoma imeweza kurekebisha barabara na wanajaribu kufanya mbinu ili waweze kupunguza migogoro ya viwanja ambavyo wananchi walinyang'anywa na serikali ...bila sababu maalum ...katika changamoto anasema fungu la manispaa halifiki kwa wakati ....na linafika nusunusu....
   
 5. THE STRONG

  THE STRONG Senior Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  diwani wa kata ya Makoko mh Aloyse Mawazo anasema kwamba manispaa ya Musoma imeweza kurekebisha barabara na wanajaribu kufanya mbinu ili waweze kupunguza migogoro ya viwanja ambavyo wananchi walinyang'anywa na serikali ...bila sababu maalum ...katika changamoto anasema fungu la manispaa halifiki kwa wakati ....na linafika nusunusu....hivyo kuchelewesha maendeleo ya manispaa ...
   
 6. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wamefunika NINI?
   
 7. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  gud work Combrades!!
   
 8. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Musoma ni Majembe chini ya Chadema
   
 9. Sihali

  Sihali Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha umbea weweee. Watu wengi ndiyo nini. Ujinga mtupu sasa hivi ishu ni Arumeru tuu usituzingue hapa jamvini.
   
Loading...