Wakati CCM wanafanya usanii, Zitto Kabwe aendelea kufungua matawi CDM - Mwanza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati CCM wanafanya usanii, Zitto Kabwe aendelea kufungua matawi CDM - Mwanza.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by OMUSILANGA, Mar 31, 2012.

 1. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo wakuu ! Zito Kabwe tayari yupo jijini mwza, tayari amefungua tawi la Msumbiji,kata ya Pasiansi. Sasa hivi anaelekea Igoma kufungua tawi ,baadae ata elekea Magomeni Kirumba kufunga compaign. Naomba kuwasilisha.
   
 2. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Big up zitto Rais wa 2045, BRAVO CHADEMA.
   
 3. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Zitto ni type ya watu wanaojua jinsi ya kumuua nyoka bila tabu, you just hit it on its head.
  Najua wengi wanajidai hawamuelewi Zitto lakini katika hali ya kikawaida jamaa ni type ya viongozi ambao wako very organised, ndo maana kuna watu wakimuwaza hawapati usingizi.
  Good work Kabwe Zuberi Zitto.
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Nimesikia ccm wamempeleka mzee wa mgao wa giza kwenda kufunga kampeni zao kirumba.

  Sasa sijui ngeleja ana nini kipya cha kuwaambia na kuwavutia wananchi wapiga kura wa kata ya kirumba!
   
 5. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Jembe letu linalima kwelikweli
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Hii thread itakosa wachangiaji kwasababu inaongelea positive za zitto
   
 7. P

  PJS Senior Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa pamoja tutashinda vita hi ya kumng'oa mkoloni mweusi madarakani.
   
 8. K

  KIGIGI Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakunaga kama zitto! huyu jamaa ni jembe kwelikweli!
   
 9. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Cdm ni moto wa kuotea mbali
   
 10. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  I wish awe organized kweli
   
 11. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  umbea huu
   
 12. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Hizo positive characters hata yeye anazifahamu, ndo maana tunachangia zaidi zile asizozifahamu, mtoto anayependwa ni yule anayechapwa na mama yake. hemu weka hapa negative za January Makamba uone kama kuna mtu atajishughulisha nazo.
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Good work. Tupatie na picha.
   
 14. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Mwita karibu Kirumba leo kamanda

  CCM wanafanya makosa makubwa kisiasa.Napoleon Bonaparte(mwanamapinduzi ninayemzimia sana) alisema 'Never interrupt your enemy when he's making Mistake'

  CCM wanajua jinsi mgao wa umeme ilivyotesa watu halafu wanajua kuna vijana wengi wanaonyanyaswa na migodi iliyozunguka mwanza halafu wanampeleka waziri (mhusika mkuu wa majanga hayo) kufunga kampeni?Labda ukute CCM wana bifu na Jack Masamaki.

  Halafu wakati akiwa anaendelea kuhutubia umeme ukatike ghafla.....Utakuwa ndiyo ujumbe wake kwa wanakirumba andeleeni kuichagua CCM mpate kadhia kama hizi
   
 15. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  ww ndio mmbea kwani kasema uwongo
   
 16. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wana bodi nilikuwa na maana ya magamba hawatachangia mpaka sasa hivi umeshamuona ritz, rejao,mama porojo au radhia sweety wanataka za kuua CDM
   
 17. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mambo yako hivi... IMG-20120331-00904.jpg IMG-20120331-00919.jpg
   
 18. I

  Iriora Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hiyo 2045
   
 19. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  JF na picha mmeanza kukera sasa..kila kitu picha picha pichaaa..hii ni sehemu unayopata raw news,ambazo zaweza kuwa sahihi au siyo sahihi..! si kila mtu ana-uwezo wa kuweka picha hapa..hebu tambueni hilo basi..! @all
   
 20. M

  Mr Emmy JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,201
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  I hope utakuwa umeambatana na ......... wako Zitto but dogo ushapotezwa kuanzia Chadema hadi CCM labda ukimbilie ADC upeleke propaganda zako ambazo hazina mashiko kwa vijana wakitanzania
   
Loading...