Lowassa aselebuka, wapi Nape? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa aselebuka, wapi Nape?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mjenda Chilo, Mar 31, 2012.

 1. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  EL jana kwenye ule mkutano wake ameonekana akiselebuka kwa mbwembwe nyingi. Vuvuzela alisema hatapanda jukwaani, yako wapi? that is a break through, hakuna yeyote wa kumzuia tenaaaa! in short jamaa alijaza watu no mater hao watu walitoka wapi.
   
 2. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hao wamezombewa na ule mkutano umeandaliwa kwa wiki mbili,sioi akishindwa ccm haitalaumiwa SASA WA KUMLAUMU NA ALIEJIMALIZA NI MAMVI. whatever is excellent
   
 3. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280


  Umejaza watu? Sio umejaza magari?
   
 4. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Wewe Mjenda Misi hauna jipya kwani ukipenda Mafisadi nawe nakuchukulia kama ni Fisadi tuu
   
 5. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mbukwenyi, mwene mun'tu yono yakulonga ukweli kumbe yakuchemwa fisadi? Leche zizo muwaha. LOWASSA kiboko yenyu. Mutuka muwaha wuwo.
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Wewe mganga wa kienyeji nini? Mbona unatumia lugha zao
   
 7. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Kumbe ndio kabila lako hilo?ndio maana una akili za kichoko!! Samahani sana kwa kukuchukia muda wote mi nilifikiri binaadamu kumbe lichoko
   
 8. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Nape huyu hapa we kinega acha uongo,Nape alitamka lini hilo?vinega bwana mna tabu kweli mnapoona mmeelewa,hebu malizeni mposuko wa genge la mbowe na slaa kuhusu nani atagombea urais maana unakitafuna chama kama kansa..


  [​IMG]
   
 9. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Mjenda Chilo u wapi uzalendo wako? Binafsi nilifatilia mikutano ya jana ya kampeni za CCM na CHADEMA kama zilivooneshwa katika taarifa ya habari ya ITV. Nilichokiona wakati Lowasa anaongea na baadaye Mkapa ni watu wakioneka kama wanacheza muziki, sijui kama walipokuwa wanahutubia kulikuwa na muziki pia, lakini Lowasa aliongelea tatizo la ardhi Arumeru kwamba limekuwepo tangu mwaka 1951 wakati wa mkoloni na baaye wakati wote chini ya CCM, my take wameshindwa muda wote huo wataweza sasa? walipoonesha taarifa ya mkutano wa CHADEMA kulikuwa na muendano wa matukio kati ya wasikilizaji na muongeaji. Badilika Mgenda Chilo. Alishindwa mzee Sumari kutatua matatizo ya Arumeru ataweza mwanaye? Tuache uvivu wa kufikiri CCM wameshashindwa kutatua kero za wananchi na tuwape CHADEMA, anza na Arumeru Mashariki.
   
 10. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  KWani hii picha inaonesha imepigwa lini?
   
 11. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mkapa Arudi Arumeru Kufunga Kampeni CCM  [​IMG]

  Rais na Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa akiwa kwenye chumba cha kufikia kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) baada ya kupokewa kwenye uwanja huo na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kushoto) , leo asubuhi. Wapili kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.


  [​IMG]


  [​IMG]
   
 12. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  AhÄaa kumbeee! lyo itatizo lyetu wanhu wa kukuaya,Ifikie wakati tuseme ukweli juu ya watendaji wetu ina maana agwe Jumakidogo uovu na uwizi wa Lowassa hauujuo au ni kuweka pamba masikioni huku masikio yako yakitaka yazibuliwe? chibadiliche jamani we need changes and our changes are through spreading the good things of CDM,kaazi kweli kweli
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,275
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa najiulizaga hizi toilet paper zilizoandikwa Uhuru huwa zinanunuliwa na nani!?......kumbe sasa nimeshaijuwa kazi yake ni kwenda kuyagawa bure kwenye jamii ambazo hazijakanyaga shule kama Wamasai.
  [​IMG]

   
 14. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 15. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mtani, naamini sasa umekubali kuwa Nape analamba matapishi yake kama ambavyo wewe utakavyoyalamba 2015.
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Nape ni bajaji Lowassa ni ferrari.
   
 17. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kivipi?kwa kupanda jukwaani kueneza sera za chama arumeru au?
   
 18. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Labda Ferrari ya kichina kama ile mvua aliyoapa kutununulia Thailand kama Jakaya asingetumia busara kumuacha apate ile ajali yake ya kujitakia ya kisiasa
   
 19. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wewe kweli punguani. Unamaana mtu akiongea kifaransa ni lazima awe mfaransa? Halafu akili yako imetekwa na ujuha. Makabila yote hapa bongo ni sawa tu.
   
 20. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kiukweli kabisa NAPE NNAUYE,OLE SENDEKA na SAMWELI SITTA waachane na siasa wakalime maana LOWASSA Wamemshindwa pamoja na ufisadi wake. Kama ni issue ya urais ndani ya ccm imepamba moto ndo maana gamba limepanda jana jukwaani likimpigia mkwewe kampeni.
   
Loading...