Watanzania sasa tuache tofauti zetu za vyama,dini na sehemu tunakotoka ili tujadili mustakbali wa Nchi yetu.Nimelazimika kuleta uzi huu ili kila mwenye mapenzi mema na Nchi hii aujadili kwa mapana...
Sisi Maaskofu, Mapadre, Wachungaji na Waumini tunaoishi Zanzibar, tumekutana leo tarehe 30 Mei 2012 kufutia hali ya machafuko, uvunjifu wa amani, uchomaji wa Makanisa, uharibifu wa mali za Kanisa...
Wanabodi.
Makada wawili wa Chadema Wiliyani Arusha wameweka bayana nia yao kuwania ubunge katika Jimbo la Arusha kutaka kumrithi Godbless Lema aliyevuliwa ubunge huo na Mahakama.
Wakati Lema...
Fri, Jun 1st, 2012
Tanzania |
Luanda – The prime minister of the United Republic of Tanzania, Mizengo Pinda, arrived Thursday in Luanda to attend the Extraordinary Summit of Heads of State...
Taarifa kwa WanaJF mlizoea kusema vibaya dhidi ya CCM wakati huo mkiwapa misifa CDM;
CCM kama chama mama nchini mwetu tunaendesha mambo yetu kisayansi kwa kukaa chini na kutafakari kupitia vikao...
Na Alfred Lucas | Imechapwa 23 May 2012 | MwanaHalisi
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kufanya maandalizi ya kuaga ikulu na kuwa kiongozi mkuu wa upinzani bungeni, MwanaHALISI limeelezwa...
Kaulimbiu za viongozi wetu na maneno ya ulaghai yamekuwa hayana tija kwa maisha ya Mtanzania wa kawaida.Tumekuwa mabingwa wa misemo na nahau katika kufanikisha staili zetu za uongozi bila...
Written by administrator // 01/06/2012 // Sauti // No comments
Sheikh Farid I:
Sheikh Farid II:
Repoti ya Salma Said radio DW-Swahili:
Related Posts
Asisitiza damu kutomwagika 2015
Awwaonya wanaotoa lugha chafu dhidi ya JK
Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango amewashukia baadhi ya viongozi wa Chadema wanaojipitisha jimboni kwake na...
Sheikh Farid Hadi Ahmed akizungumza na waandishi wa habari leo nje ya msikiti wa Mbuyuni
Mahojiano ya Sheikh Farid na Waandishi wa Habari Msikiti wa Mbuyuni
Baada ya shukrani kwa Mwenyeenzi...
MBUNGE wa Jimbo la Maswa Magharibi, John Shibuda (CHADEMA), amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kimejaa viongozi ‘wachumia tumbo' ambao hawana muda tena wa kufanya kazi ya kutekeleza ahadi...
Nimejaribu sikiliza kwa makini uchambuzi wa wengi, hasa wapinzani wanashindwa sema tuu wazi kuwa uamsho ni udini, na udini huu unataka toa muungano kwa maslahi ya dini.Na hasara ya huu udini ni...
Written by majora // 01/06/2012 // Habari // 2 Comments
Hoja ya haja: Muungano na Katiba mpya
Samahani sana Anko, naomba uweke hii hoya yangu kwenye libeneke lako ili niweze ku-share...
WanJF,
Jambo linaloonekana kuwakera wahadhiri wasiowazawa wa BUKOBA ni kitendo cha kufuatiliwa maisha yao na wenyeji. Mtaani wananyanyapaliwa utadhani si Watanzania wenzao. Wamepandishiwa kodi za...
Nadhani sasa ni wazi kuwa nape nauye anaipenda cdm hata kama mwenyewe hajui au haamin.kwa waliomuona itv kwenye habari akikagua ujenzi wa hospitali huko singida kana kwamba yeye ni waziri wa afya...
nataka niulize masuali mawili kuhusu huu muungano wa nchi huru mbili zilizoungana "kwa hiari"
naoma kila mtu ajaribu kujibu bila ya jazba wala chuki, tujaribu kuwa great thinkers wa sawa sawa...
Kwa Madaktari wote
YAH: KUAHIRISHWA KWA MKUTANO WA MADAKTARI WOTE NCHINI
Chama cha madaktari Tanzania (MAT) na Kamati ya Jumuiya ya Madaktari nchini tunapenda kuwataarifu madaktari wote kuwa...